- Thread starter
- #41
We umeona Msigwa au mtoa mada ameweka vifungu vilivyo kiukwa?
funguka kaka swali halieleweki!
We umeona Msigwa au mtoa mada ameweka vifungu vilivyo kiukwa?
kweli kabisa..mtoto wa mfalme kapewa game reserve. kwa ajili ya uwindaji, hakuna kosa hapo,,
! 2015 ni mwaka wa kufanya mabadiliko ya watawala I'll kuokoa Maliasili za nchiUna akili ubongoni au nywele? Kwani nani mwenye mamlaka ya juu ndani ya nchi kama si rais? Kitendo cha yeye kukaa kimya huku akichekea watu inamaanisha yeye anaona poa tu. Si unaona Kagame anavyofanya, yeye anatawala bali hachei na kuchekea watu au kualika wasanii White House kula nao daku. Rais inabidi kuwa serious ii wakuone unajituma and you mean what you say....Kikwete hamna kitu. Wewe nenda kaibe vifaru utaona kama utakamatwa, si unaona Kinana kapewa ukatibu mkuu wa chama badala ya kunyongwa na ujambazi wote ule.
Tuwe wakweli hile video haina cha maana zaidi ya kuonesha wanyama wakiwindwa na wanyama huwindwa kwa silaha na wale ni wazi wana vibali vya kuwinda.
Sijaona kibaya kwenye hule mkanda!
Ni kNyie hata kama mtajikusanya wote kwenye ukoo wenu hamtafikia akili ya rais kikwete hilo lifahamu kwanza.
game reserve ni kwa ajili ya uwindaji mkuu..kuna wanyama wameruhusiwa kisheria kuwindwa..
Hivi kwenye video ni kipi kichokiukwa? naomba kueleweshwa wakuu.
wanaruhusiwa kukamata watoto wa wanyama? wanaruhusiwa kufukuza wanyama? wanaruhusiwa baada ya kumpiga risasi akianguka akanyagwekanyagwe?!?!!!!ol,
Acha upuuzi wewe yeye kikwete si ndio mwenyekiti wa lichama lenu anashindwa kimwambia yule Msomali kwamba anawamaliza tembo wetu.Huna unachokijua we bawacha mambo ya kudandia watu bila hata kujua sheria za nchi zipoje hapa rais kikwete kaingiaje kwani yeye ni polisi au mahakama au ndiyo dj wenu alivyowafundisha hivyo.
Katika ule uwindaji hakuna kilicho kiukwa maana Hata wanyama waliokuwa wana windwa na kupiga ni wanyama wanao ruhusiwa kuwindwa!
Ni wazi wale wawindaji walikuwa wana vibali na Msigwa ana sema wanyama wana teswa na ameonesha mkanda wawindaji wakiwinda wanyama na wanyama lazima wawindwe kwa kupigwa risasi! Hadi sasa sijajua Msigwa anataka nini kwenye hili na mkanda alio onesha ni wazi wale watu wana vibali vya kuwinda!
Katika hili Msigwa anaweza kuwa
ana potoka na hule si ushahidi wa wanyama kuteswa wale wana windwa!
Mchungaji Msigwa ametoa picha za wawindaji kutoka kampuni ya mwana wa mfalme wa saudia wakikiuka kanuni na sheria za uwindaji.
Mchungaji amemwomba waziri kuwawajibisha wote waliohusika.
My take: Mch Msigwa alisema Kinana anaua tembo wetu, wakabisha, sasa na kawapa ushahidi kabisa, sidhani kama wataruka.
Msigwa big up!
Source: Star tv news!
Msigwa mburula kweli kachukua picha bavicha wakiwinda kwenye hifadhi zetu yeye analeta siasa zake nyepesi.
waziri nyalandu kasema ameunda kamati ya kuchunguza ili hatua zichukuliwe. sasa kwa nini mnaharakisha kuwatetea hao wswindaji? kwani wana uhusiano na ccm. mnatetea waarab kuwinda wanyama wadogo kinyume cha sheria? ningekuwa ccm najitenga kabisa kutetea watu km hawa.Tuwe wakweli hile video haina cha maana zaidi ya kuonesha wanyama wakiwindwa na wanyama huwindwa kwa silaha na wale ni wazi wana vibali vya kuwinda.
Sijaona kibaya kwenye hule mkanda!