Mchungaji Msigwa kuongoza maandamano kumng'oa Kamanda Kamuhanda

Mtu yeyote mwenye akili timamu na anaitumia mwenyewe tena vizuri hawezi kushabikia mauaji ya binadamu mwenzake kama unavyofanya hapa.
Pamoja na exposure uliyokuwa nayo chama lakini kumbe akili yako ni finyu hivi kama ya kuku.

Kamanda Mwita usipindishe ukweli kama shida ni kushabikia vifo nilikuwa sina haja ya kusubiri kifo cha Mwangosi ningeenda Muhimbili kila siku kuna watu wanakufa kila siku; hapa tunachojadili ni nini hasa kilishababisha kifo cha Mwangosi kitu ambacho makamanda wa Chadema ndani JF hamtaki kukuijadili kwa mapana marefu kwa kuogopa ukweli; kwa nini hamtaki tumjadili aliyelazimisha maandamo? Ukweli hautapatikana kwa kushinikiza lawama kwa polisi. Nasimamia ninachokisema; watu wenye akili finyu kama za kuku ndio mliosimamia kuilaumu polisi hamtaki kwenda mbali zaidi; labda nikuulize mnaogopa kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,

Hawa jamaa madude yanawasumbua kila muda wanataka maandamo.

Mkuu Ritz;
Jamaa hawana shughuli? Wazazi wa Mwangosi bado wanauguza majeraha ya moyo wao kila kukicha maandamano kama si unafiki ni kitu gani? Hivi kweli mkuu uwe umepoteza mwanao hata 40 bado hiyo nguvu ya kuandamana utakuwa nayo? Wanafiki hawa wamemtoa mtoto wa watu kikoa wao wanaendelea na furaha ya maisha kila siku walienda Mbeya kupiga picha yameishia hapo hapo jiulize hivi Mwangosi (R.I.P) ndiye wa kwanza kufa kwenye maandamono ya Chadema? Hao waliokufa awali kuna anayejali familia zao? Jamaa walijaribu kutafuta mass support ya wataanzania ili waandame nchi nzima wanasahau kuwa watanzania ni watu ambao ueleo wetu ni wa hali juu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Excellent,, Kamanda kamuhanda yupo Sahihi kabisa kwa sababu CDM Wanaandamana bila kibali.. tena kwa usimamizi mzuri washeria Kamanda Kamuhanda anafaa kuwa IGP...
CDM Wanatumia njia ya kuvunja sheria halafu wakivunja wakiachwa wanasema serikali ya CCM Dhaifu..
Sasa ni kusimamia sheria tu...

mh kwa akili hii kama kuna watu wanakutgemea kwa lolote lile basi wanakazi
 
Mbona kifo cha Ally muuza magazeti wa Morogoro Chadema wamekikimbia au hakina maslahi kwao.

Mkuu wanachofuta ni maslahi ya kisiasa; tatizo la makamanda akili zao finyu sana wanafikiria watanzania ni mapimbi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Napenda kuwaambia wanachadema Iringa. mkiandamana bila kibali mtashughulikiwa tu, na ninachukua nafasi hii kumpongeza Kamanda Kamuhanda kwa kusimamia Sheria za nchi vizuri yeyote atakayevunja mshughulikie ipasavyo Tupo nyuma yako...Asikutishe mtu wala chama chochote cha siasa ambacho badala ya kufanya kazi za siasa wamekuwa wanaharakati.
Na ninapenda kuwaanbia waandishi wa habari wa mkoa wa Iringa msiwe wanasiasa fanyeni kazi yenu ya uandishi wa habari kama mlivyosomea...Ethics za uandishi wa habari...

Wananchi wa Iringa mkiandamana bila kibali wakati matukio yanatokea hamtamuona Mch Msigwa,, Mtaacha familia zenu..Chama chenyewa kimejaa Ukanda na Ukabila..Kikao cha ukoo hakina tofauti na kikao cha Chama

kweli wewe ni kenge maji ulietelekezwa jangwani??? Nani kakwambia haki inaombwa ??? Kuandamana ni haki yetu kikatiba.
 
Mkuu wanachofuta ni maslahi ya kisiasa; tatizo la makamanda akili zao finyu sana wanafikiria watanzania ni mapimbi

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Tatizo la hawa makamanda wanataka kutumia msiba wa Daud Mwangosi (R.I.P) kama mtaji wao wa kisiasa, huwezi kukimbilia kufanya maandamo wakati kuna msiba mwingine ulitokea mwanzo kule Morogoro wa muuza magazeti Ally Nzona (R.I.P) Chadema mbona hawajaitisha hayo maandamano yao.
 
Last edited by a moderator:
acha uongo mkuu, msigwa amekubalika sana na wananchi wa iringa, magamba wangeweza kujaza idad ya watu kama mkutano wa juz? Kamuhanda must go
 
Ukiwa una neemeka na utawala wa CCM uliopo madarakani lazima utamtetea Kamuhanda na Policcm
Yaani binaadamu mwenzako kauliwa badomunasema polisi walikuwa sahihi imagine aliyekufa angekuwa ndugu yako ungesema hayo maneno
 
Msigwa Maandamano....jpg

Huyu jamaa na hii hali yake ataweza kuandamana au ndio ile kama ya Dr. Slaa ya kuhamasisha wenzake waandamane halafu yeye anaingia mitini.
 
Kamanda Mwita usipindishe ukweli kama shida ni kushabikia vifo nilikuwa sina haja ya kusubiri kifo cha Mwangosi ningeenda Muhimbili kila siku kuna watu wanakufa kila siku; hapa tunachojadili ni nini hasa kilishababisha kifo cha Mwangosi kitu ambacho makamanda wa Chadema ndani JF hamtaki kukuijadili kwa mapana marefu kwa kuogopa ukweli; kwa nini hamtaki tumjadili aliyelazimisha maandamo? Ukweli hautapatikana kwa kushinikiza lawama kwa polisi. Nasimamia ninachokisema; watu wenye akili finyu kama za kuku ndio mliosimamia kuilaumu polisi hamtaki kwenda mbali zaidi; labda nikuulize mnaogopa kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM

chama kwakuwa una akili ya kuku hujui kwamba mmoja kati ya wauaji saba wa Mwangosi keshafikishwa mahakamani.
Mwenye akili ya kuku hujui kwamba hakuna kiongozi ama mwanachadema yeyote aliyekamatwa ama kushitakiwa kwa mauaji ya Mwangosi.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kifo cha Ally muuza magazeti wa Morogoro Chadema wamekikimbia au hakina maslahi kwao.
Haya ni maandamano ya Msigwa na wananchi wa Iringa siyo maandamano ya M4C

Mbunge wa Morogoro mjini inawezekana gamba ndo maana mliweza kuficha ukweli fasta
 
Haya ni maandamano ya Msigwa na wananchi wa Iringa siyo maandamano ya M4C

Mbunge wa Morogoro mjini inawezekana gamba ndo maana mliweza kuficha ukweli fasta

Kwa hiyo Chadema hawahusiki?
 
Kamanda Mwita usipindishe ukweli kama shida ni kushabikia vifo nilikuwa sina haja ya kusubiri kifo cha Mwangosi ningeenda Muhimbili kila siku kuna watu wanakufa kila siku; hapa tunachojadili ni nini hasa kilishababisha kifo cha Mwangosi kitu ambacho makamanda wa Chadema ndani JF hamtaki kukuijadili kwa mapana marefu kwa kuogopa ukweli; kwa nini hamtaki tumjadili aliyelazimisha maandamo? Ukweli hautapatikana kwa kushinikiza lawama kwa polisi. Nasimamia ninachokisema; watu wenye akili finyu kama za kuku ndio mliosimamia kuilaumu polisi hamtaki kwenda mbali zaidi; labda nikuulize mnaogopa kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM

chama kwakuwa una akili ya kuku hujui kwamba mmoja kati ya wauaji saba wa Mwangosi keshafikishwa mahakamani.
Mwenye akili ya kuku hujui kwamba hakuna kiongozi ama mwanachadema yeyote aliyekamatwa ama kushitakiwa kwa mauaji ya Mwangosi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Chadema hawahusiki?

Tamko hili la Umoja wa Nchi za Ulaya kuhusu kuuawa Mwangosi dhidi ya serkilai unalielewaje na unalichukulia vipo?

Umoja wa Ulaya (EU), jijini Dar es Salaam umelaani mauaji ya mwahabari Daudi Mwangosi, aliyedaiwa kuuawa na polisi na kuzitaka mamlaka zinazoshughulikia mauaji yake kuchunguza kifo hicho kwa uwazi mkubwa na kuwachukulia hatua stahiki watuhumiwa.

EU ilisema imezifuatilia hatua za mwanzo za kisheria zilizochukuliwa kufuatia mauaji hayo ikiwemo kumfikisha kizimbani askari anayeshtakiwa kwa mauaji ya Mwangosi, lakini ikisisitiza juu ya kuwepo uwazi zaidi kwenye mamlaka zote zinazoshughulikia kifo chake.
 
Mkuu chama,
Tatizo la hawa makamanda wanataka kutumia msiba wa Daud Mwangosi (R.I.P) kama mtaji wao wa kisiasa, huwezi kukimbilia kufanya maandamo wakati kuna msiba mwingine ulitokea mwanzo kule Morogoro wa muuza magazeti Ally Nzona (R.I.P) Chadema mbona hawajaitisha hayo maandamano yao.

Aah mzee kwani hujui kama yule ni ally na huyo ni daudi?
 
Last edited by a moderator:
chama kwakuwa una akili ya kuku hujui kwamba mmoja kati ya wauaji saba wa Mwangosi keshafikishwa mahakamani.
Mwenye akili ya kuku hujui kwamba hakuna kiongozi ama mwanachadema yeyote aliyekamatwa ama kushitakiwa kwa mauaji ya Mwangosi.

Kufikishwa mahakamni sio tatizo na wala sio kigezo cha kumshinikiza kamanda wa polisi ajiuzulu hizo ni taratibu za kiserikali yanapotokea mauji; mtuhumiwa alikuwa anatekeleza majukumu yake kikazi; na nilishasema awali tukio ni bahati mbaya hakuna aliyekusudia kuua; kama kuua wangetumia risasi na si bomu la machozi; kamanda Mwita nakuamini sana tatizo umezungukwa na mapimbi wengi hata upeo wa kufikiria umekuwa mdogo sana hebu funguka kidogo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
teru3.jpg

Mkuu Ritz;
Umeona saccos ilivyojaa wasanii? sasa huyu jamaa alikuwa anaitisha maandamano ya walemavu au ya makamanda? Hii kali sijaona!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom