Mchungaji Msigwa kuongoza maandamano kumng'oa Kamanda Kamuhanda

Wajinga ni wengi..magamba wote wana support mauaji..kwa hiyo unataka kutuambioa huyo kamuhanda siyo jambazi na muuaji? Msigwa tayari ni maarufu siku nyingi. Kumbuka kila baya linalofanyika sasa hivi lawama ni kwa magamba ukiwamo wewe..majibu ya haya yote ni 2015.
 
Hali ya Mbunge Msigwa iringa mjini ni mbaya! ana jaribu kutembelea nyota ya Mwangosi kujijenga kisiasa!

Mwongo mkubwa wewe Msigwa yupo fit sana na hana hali mbaya kisiasa kama unavyofikiri wewe,ni watu wachache wa ccm wakiongozwa na Meya wanajaribu kumchafua Msigwa lakini wanashindwa watu ni waelewa sana mkuu,Mfano Meya analalamika eti Msigwa safari nyingi anasafiri peke yake badala ya kuambatana naye ila ukweli ni kwamba Msigwa safari hapangi yeye,Msigwa yeye analetewa taarifa kwamba kuna safari na yeye anachofanya anatoa taarifa kwenye chama chake! Ila ukweli jamaa yupo fit na kazi zake zinaonekana mkuu acha fitna bwanaa!
 
Ni kila Ijumaa, wiki ijayo nakuja. Nauli ya Mtibwilimbwi huku nilipo maeneo ya Ntwara kuja huko nimetimiza baada ya kuuza korosho zangu.
 
Maandamano ndio sera yenu; mnachofanya ni kubadili majina na sababu; kamanda wa polisi ametekelza majukumu kisawasawa ya kulinda amani; kama mnatakuwa sababu ya kilichomuuwa Mwangosi mngeanza na aliyeshinikiza maandamano

Chama
Gongo la mboto DSM
 
yeeessss ...itakuuma sana mpaka ..... pia kasirika mpaka upasuke ...!!!!
 
Mnaoumia ni nyie azma yenu haijafanikiwa na wala haitafanikiwa; mnatafuta mass support kwa nguvu watanzania wanaendelea na maisha yao ya kila siku

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kama huyo mchungaji akitangulia mbele kama Ponda kweli ntaamini anamaanisha nini,sio awaambie wenzake watangulie kama Baba juniour halafu yeye haonekani wanakufa wengine,huu muda huu mnaotumia kufanya maandamano kwa ajili ya maslahi ya wachache ambao wao ndio kazi zao mngetumia kuzalisha hata kidogo na family zenu mngeweza hata kupambana na hali ngumu ya maisha'fanyeni kazi achaneni na wana siasa ambao wanawatumia kwa faida yao
 
gubu linakutesa .... msigwa ni mbuge na hawezi kubadilisha hilo hata ukibandika post milioni moja humu jf... wewe ni keyboard gossiper ... hakuna utakalobadilisha
 
Kama huyo mchungaji akitangulia mbele kama Ponda kweli ntaamini anamaanisha nini,sio awaambie wenzake watangulie kama Baba juniour halafu yeye haonekani wanakufa wengine,huu muda huu mnaotumia kufanya maandamano kwa ajili ya maslahi ya wachache ambao wao ndio kazi zao mngetumia kuzalisha hata kidogo na family zenu mngeweza hata kupambana na hali ngumu ya maisha'fanyeni kazi achaneni na wana siasa ambao wanawatumia kwa faida yao
Maneno tu hayo wala hana uthubutu huo,hata mbwa koko ukipita kwao lazima abweke.
 
gubu linakutesa .... msigwa ni mbuge na hawezi kubadilisha hilo hata ukipanda post mwilini moja humu jf... wewe ni keyboard gossiper ... hakuna utakalobadilisha

kimewakatikia!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Siasa ya matusi na kejeli ni sawa na siasa uchwara ambayo siku zote ina malengo ya kuleta vurugu na fujo, huwa haina nia njema hata kidogo.

Siasa ya namna hii ailengi kujadili wala kupanga mbinu mbalimbali za kupata maendeleo ili lile lengo la kubadili hali za watanzania kuwa zenye unafuu zaidi kufikiwa.

Bali zimekuwa ni siasa za kuzua vituko, kuleta mabishano na mapambano yasiyo na tija kwa watanzania, hili hali wanatambua fika watanzania hawayahitaji yote haya.

Wapeni watanzania wanachotaka muone kama kuna atakaewapinga, mambo ya kuwajengea watanzania usugu katika miili yao na kuzitia giza akili zao hili zisiweze kufikiria kwa kina ni JANGA JIPYA KWA TAIFA LINAPIKWA HAPA.

Kama serikali haitachukua hatua za haraka dhidi ya hili kundi la wana-chadema, basi kila upuuzi watakao ufanya wao litaonekana ni kosa la serikali. Hii itasababisha hekima na heshima ya serikali kushuka kwa mambo ambayo kimsingi haijafanya.

HAMKA NA UZINDUKE KUTOKA KWENYE USINGIZI MZITO WA KUPANDIKIZWA NA HAO MAGWANDA. LENGO NA MADHUMUNI YAO NI KUKUTUMIA TU NA HAWANA LENGO JEMA NA WEWE.

"BADILIKA UBADILI TAIFA".

ni kwamba wewe humjui lusinde or mwigulu? acha kushupalia vitu ambavyo huvijui. mikutano ya cdm huwa haina matusi.
 
Maandamano ndio sera yenu; mnachofanya ni kubadili majina na sababu; kamanda wa polisi ametekelza majukumu kisawasawa ya kulinda amani; kama mnatakuwa sababu ya kilichomuuwa Mwangosi mngeanza na aliyeshinikiza maandamano

Chama
Gongo la mboto DSM

Mtu yeyote mwenye akili timamu na anaitumia mwenyewe tena vizuri hawezi kushabikia mauaji ya binadamu mwenzake kama unavyofanya hapa.
Pamoja na exposure uliyokuwa nayo chama lakini kumbe akili yako ni finyu hivi kama ya kuku.
 
Last edited by a moderator:
ni kwamba wewe humjui lusinde or mwigulu? acha kushupalia vitu ambavyo huvijui. mikutano ya cdm huwa haina matusi.

Mimi ni mwana-ccm kwa taarifa yako, waliyoyafanya hao uliowataja lilikuwa ni kosa na walionywa vikali ndani ya chama.

Wana-ccm tunazingatia maadili na tunakubali kukosolewa, unlike you guys. Mbona Chadema mnajiona mmekamilika sana? hemu lifanyieni marekebisho hili wana chadema kwa ustawi mzuri wa chama chenu.
 
Mbona kifo cha Ally muuza magazeti wa Morogoro Chadema wamekikimbia au hakina maslahi kwao.
 
Excellent,, Kamanda kamuhanda yupo Sahihi kabisa kwa sababu CDM Wanaandamana bila kibali.. tena kwa usimamizi mzuri washeria Kamanda Kamuhanda anafaa kuwa IGP...
CDM Wanatumia njia ya kuvunja sheria halafu wakivunja wakiachwa wanasema serikali ya CCM Dhaifu..
Sasa ni kusimamia sheria tu...
Najua baadaye utapita Lumumba kusain payroll kama ulivoelekezwa na mkuu wa kitengo cha propaganda.
 
Siasa ya matusi na kejeli ni sawa na siasa uchwara ambayo siku zote ina malengo ya kuleta vurugu na fujo, huwa haina nia njema hata kidogo.

Siasa ya namna hii ailengi kujadili wala kupanga mbinu mbalimbali za kupata maendeleo ili lile lengo la kubadili hali za watanzania kuwa zenye unafuu zaidi kufikiwa.

Bali zimekuwa ni siasa za kuzua vituko, kuleta mabishano na mapambano yasiyo na tija kwa watanzania, hili hali wanatambua fika watanzania hawayahitaji yote haya.

Wapeni watanzania wanachotaka muone kama kuna atakaewapinga, mambo ya kuwajengea watanzania usugu katika miili yao na kuzitia giza akili zao hili zisiweze kufikiria kwa kina ni JANGA JIPYA KWA TAIFA LINAPIKWA HAPA.

Kama serikali haitachukua hatua za haraka dhidi ya hili kundi la wana-chadema, basi kila upuuzi watakao ufanya wao litaonekana ni kosa la serikali. Hii itasababisha hekima na heshima ya serikali kushuka kwa mambo ambayo kimsingi haijafanya.

HAMKA NA UZINDUKE KUTOKA KWENYE USINGIZI MZITO WA KUPANDIKIZWA NA HAO MAGWANDA. LENGO NA MADHUMUNI YAO NI KUKUTUMIA TU NA HAWANA LENGO JEMA NA WEWE.

"BADILIKA UBADILI TAIFA".

hekima ya serikali ya ccm kwa upeo wako ni ipi?
1. ni kukaa kimya kwa mauaji ya kinyama mfano; mauaji ya mwangosi?
2. kuviza demokrasia kwa kutumia nguvu ya dola mahala pasipostahili?
3. ni kuendelea kuwadanganya watanzania mfano; vita dhidi ya maadui wakubwa wa taifa UFISADI,MARADHI,UJINGA,UMASKINI NA RUSHWA?
 
Mimi ni mwana-ccm kwa taarifa yako, waliyoyafanya hao uliowataja lilikuwa ni kosa na walionywa vikali ndani ya chama.

Wana-ccm tunazingatia maadili na tunakubali kukosolewa, unlike you guys. Mbona Chadema mnajiona mmekamilika sana? hemu lifanyieni marekebisho hili wana chadema kwa ustawi mzuri wa chama chenu.
Wezi wa kura na mabingwa wa rushwa waka, hata, wachaguzi zenu za ndani. Eti CCM imekamilika, rushwa mpaka vyooni na uzinifu juu. Umesahau Igunga.
 
Back
Top Bottom