kama kweli yeye sio jangili aende maakamani
Mbona hatujamsikia tena msgwa, nini kilichomnyamazisha
kama kweli yeye sio jangili aende maakamani
Usiwe mvivu wa kufikiri Msigwa ndio alitoa kauli ya mwisho kuwa Kinana atangulie mahakamani, muulize kinana kwa nini mpaka leo hajatangulia mahakamani.?Mbona hatujamsikia tena msgwa, nini kilichomnyamazisha
Sijawai kumtuma mtei huo ni unafiki na upotoshwaji wa mambo,nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi,ushaidi upo kinana ni mfanyabiashara maarufu wa pembe za ndovu,
by msigwa

Tulichogundua hum jf kuna watu wanatumiwa na magamba, lakini ukweli utabaki palepale, na kwa taarifa tu wale polisi waliouawa kule Kagera wakiwa na gari aina ya noah walikua vijana wa Kinana na gari ile ilikua ya kinana T639BVJ.
Maumivu ya kichwa huanza polepole mtahaha sana Lazima fidia ulipe
kwani uongo kinana sio jangili? kinana kaambali na Tembo.............