Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

Kinana ni jangili na anafanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu(wasomali)
 
Kinana ni mwizi wa mali ya uMma , nasikia hata Mgogoro wa Loliondo yeye ana mkono wake, ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa nchi hii
 
Kinana kama si jangili awahi mahakamami akatafute haki yake. Ila sema mahakama zenyewe za bongo ni jumuiya ya CCM
 
Mods namba hawa wsnaoweka uongo huku wafutiwe uanachama
Mfano, Mwigulu alisema hakuwahi kugombana na Mch Msigwa, kesho yake ikaonekana kwenye magazeti,
Kuna mtu isema Sugu ameomba radhi kwa kauli aliyoitoa kwa Mh Pinda, baada ya muda Sugu kakanusha hajaomba radhi Sasa tena kuna aliye sema Mch Msigwa kamtuma mzee Mtei kwa Kinana, Mch. amekana hajafanya wala hana hilo wazo, hawa wanaoleta habari za uongo humu wanadhalilisha hili jukwaa naomba wachukuliwe hatua ili wajue hapa sio mahali pa udaku

Uzi wa kusema mchungaji Msigwa amuomba Mtei akamuombee radhi nimeuweka mimi, na hii taarifa imekuja bila ushahidi wowote kuwa ni yeye Msigwa ndiye ameeleza.

Sasa iweje mnihukumu mjumbe niliyeandika tetesi halafu mumuache huyu alieleta taarifa bila viambatanisho vya ushahidi?
 
jangili ni jangili tu. Sitashangaa litakapowahonga ccm na hela linazozipata kwa kusafirisha tembo! kinana weka mbali na tembo.

si hao tu, wengine wanatafuta umaharufu mpaka msikitini na kanisani kwa kuhonga hela walizoiba,
eh baba yetu dr slaa mungu akupe afya njema, akulinde na aendelee kukupa hekima na busara, wewe ndo mlinz pekee wa rasilimali zetu,
ona nchi yetu imebatizwa jina la shamba la bibi, hata rwanda wanatudhalau.
Tuna imani kubwa kubwa sana na wewe
 
Uzi wa kusema mchungaji Msigwa amuomba Mtei akamuombee radhi nimeuweka mimi, na hii taarifa imekuja bila ushahidi wowote kuwa ni yeye Msigwa ndiye ameeleza.

Sasa iweje mnihukumu mjumbe niliyeandika tetesi halafu mumuache huyu alieleta taarifa bila viambatanisho vya ushahidi?

wewe jitathmini, umekuwa mmbea sana, umekuwa mpindisha mada kila kukicha, umekua mgeuza nyeupe kuwa nyeusi. umewasababishia weng kupata ban, ril wewe c mtu mwema hata kidogo
 
Uzi wa kusema mchungaji Msigwa amuomba Mtei akamuombee radhi nimeuweka mimi, na hii taarifa imekuja bila ushahidi wowote kuwa ni yeye Msigwa ndiye ameeleza.

Sasa iweje mnihukumu mjumbe niliyeandika tetesi halafu mumuache huyu alieleta taarifa bila viambatanisho vya ushahidi?
Moods pigeni Ban huyu PIMMBI
 
Uzi wa kusema mchungaji Msigwa amuomba Mtei akamuombee radhi nimeuweka mimi, na hii taarifa imekuja bila ushahidi wowote kuwa ni yeye Msigwa ndiye ameeleza.

Sasa iweje mnihukumu mjumbe niliyeandika tetesi halafu mumuache huyu alieleta taarifa bila viambatanisho vya ushahidi?

Hapa ni mahali pa great thinkers, wewe uliwekaje bila kufuatilia ukweli wake,? Hapa sio mahali pa udaku, unastahili adhabu, taarifa kama hizi peleka gazeti la uhuru na mzalendo watakupongeza sio hapa jamvini
 
Naungana na muungwana mmoja hapo, juu MODERATORS pigeni BAN wote wanaoleta habari za uongo humu jamvini.
 
Sijawai kumtuma mtei huo ni unafiki na upotoshwaji wa mambo,nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi,ushaidi upo kinana ni mfanyabiashara maarufu wa pembe za ndovu,
h
by msigwa
Hukumu yake ni mika 500 jela au kunyongwa,kinana chagua moja!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sijawai kumtuma mtei huo ni unafiki na upotoshwaji wa mambo,nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi,ushaidi upo kinana ni mfanyabiashara maarufu wa pembe za ndovu,

by msigwa
Leo ni hero kisa tetesi za kaachana na sisiemu.
Bavicha wamelaaniwa ndio maana wamepoteana.
 
Huyu Kinana na wenzake ashughulikiwe tu. Yani wameteketeza tembo wetu bila huruma. Halafu yakiminywa na mafisadi wenzao yanabaki kung'aka na kulialia
 
Back
Top Bottom