Mkuu soma vizuri uelewe. Mchungaji msigwa kasema kuwa Ekari 300 ni sawa na hekta 800. Hilo si sahihi. Ukweli ni kuwa ekari 300 ni sawa na hekta 121.Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741.
Alichokosea hapo ni nini? alichofanya Mch. Msigwa ni kukadiria ili watu waelewe kwa urahisi, 741 kwa 800.
Uzito wa Topic ni TAKWIMU iliyotolewa.
Kwa mfano, nikisema Nauli ya Dala dala ni kubwa. Halafu takwimu yangu ikasoma hivi- Nauli ya dala dala kwa trip moja ni sawa na Dola za kimarekani 30 ($30)...............
Hapo kichwa habari kinafunikwa na $30 kuliko USAFIRI WA DALA DALA NI GHALI.
Rudi nyuma kumbuka kidogo somo la kiswahili...............Kiini cha ujumbe.....
Tujadili hoja ya kuboronga ama hoja ya msingi ya uharibifu wa mzingira? Usiwe shabiki tu bila kuangalia kwa kina maudhui ya swali.Wakuu, hapa hoja ya msingi ni huku kuboronga kwa Mchungaji Msigwa. kutokana na data zake kutoeleweka, ni wazi kuwa hata kile alichokuwa anakusudia kukisema ni porojo tu al mradi siku iende. Bahati Mzuri Naibu waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene kamueleza mikakati ya serikali katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira. Hii ni pamoja na mkakati wa serikali kuwekeza kwenye nishati ya gesi ambayo ndiyo mkombozi wa watanzania wengi
Juzi tu huko RSA Rais Kikwete aliudanganya Ulimwengu (read again Dunia) kwamba Nelson Mandela alikuja mara kwanza Tanganyika JANUARY 1962 na kupewa Passport ya Tanganyika.
Wakati ukweli ni kwamba hata katika Autography yake ameandika kwamba Nelson Mandela alikuja Tanganyika kwa mara kwanza DECEMBER 1962.
Je Rais Kikwete naye tumuite hayo Majina mnayomuita Mch. Msigwa kwa kuchangaya hizo metric?
Hii inanikumbusha ya Makamba Snr, na Dr. Slaa 2010. Wazungu wana msemo kwamba "When you're living in a glass house don't throw stones"
Nasikia chama lenu linaitwa Ngongo FC.Nyuzi kama hizi LB7 wanajazana utafikiri nzi kwenye kinyesi. Kutwa kucha yatajazana hapa na kupeana zamu kwa post ya kipuuzi isiyo na mashiko. Mbona ule wa Mabina hamkuchangia?
Hivi Msigwa kuchemka kwenye ukokotoaji wa eka vs hekta na Mabina (Diwani na Mwenyekiti wa Mkoa) kuvamia eneo kinyume na maagizo ya mahakama, kuuwa na hatimaye wananchi kumfutilia mbali yeye mwenyewe ni ipi habari ya muhimu zaidi? Sometimes ndio maana mnadharaulika.
Mkuu, uzi huo upo humu JF na hakuna aliyemtetea Mulugo. Kosa haliwezi kuhalalishwa kwa kosa. Kosa la Mulugo litaendelea kuwa la Mulugo na kosa la Msigwa litabaki kuwa ni aibu ya Msigwa.Kuna mtu amewahi kusema tanzanini muungano wa tanganyika na zimbabwe sijawahi ona thread ya magamba ktmpinga mtu anaye potosha historia ya nchi yetu hadharani lkn yakiona kunamakosa upande wa pili yana washwa na kujikuna mpaka ngozi kutoa vidonda
Juzi tu huko RSA Rais Kikwete aliudanganya Ulimwengu (read again Dunia) kwamba Nelson Mandela alikuja mara kwanza Tanganyika JANUARY 1962 na kupewa Passport ya Tanganyika.
Wakati ukweli ni kwamba hata katika Autography yake ameandika kwamba Nelson Mandela alikuja Tanganyika kwa mara kwanza DECEMBER 1962.
Je Rais Kikwete naye tumuite hayo Majina mnayomuita Mch. Msigwa kwa kuchangaya hizo metric?
Hii inanikumbusha ya Makamba Snr, na Dr. Slaa 2010. Wazungu wana msemo kwamba "When you're living in a glass house don't throw stones"
Wakuu, hapa hoja ya msingi ni huku kuboronga kwa Mchungaji Msigwa. kutokana na data zake kutoeleweka, ni wazi kuwa hata kile alichokuwa anakusudia kukisema ni porojo tu al mradi siku iende. Bahati Mzuri Naibu waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene kamueleza mikakati ya serikali katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira. Hii ni pamoja na mkakati wa serikali kuwekeza kwenye nishati ya gesi ambayo ndiyo mkombozi wa watanzania wengi
hapa sasa umeanza kujikanganya ni vema ubadili uelekeo kitu alichofanya msigwa ni cha aibu huo ndiyo ukweli zingine hizi unaleta ni porojo tu hazina mashiko hata chembe.Nani anataka Data! nani anatakiwa ajue uwepo wa uharibifu wa mazingira? tuseme kipi cha msingi? Nakama si dharau ilikufaa uandike kama ulivyo nijibu si ktk dharau ya kiwango ulichofikia. Kuupuza ukweli nikujipuuza mwenyewe. au unataka turudi darasa la nne tuseme ( 2 mara 2 ni 4) wenye akili tutajua si lazima iwe jibu ni 4.
Mkuu kumbuka kwamba hapa tunajadili kuboronga kwa msigwa. Hiyo ya uharibifu wa mazingira weka uzi wake na uupeleke kwenye jukwaa husika na tutakuunga mkonoTujadili hoja ya kuboronga ama hoja ya msingi ya uharibifu wa mzingira? Usiwe shabiki tu bila kuangalia kwa kina maudhui ya swali.
hawa si midomo tuu kwani unadhani kuna chochote, alimradi ametoa arufu mdomoni
Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.
Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.
Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.
Nawasilisha.
Mh! Kwa hiyo unataka na msigwa naye akae kimya baada ya leo kuboronga bungeni?Aliyekuwa mtangazaji wa TBC radio bwana Juma Nkamia amefyata mkia baada ya kurushiwa kombora la skadi huko jijini mwanza na aliyekuwa Mkuu wa BBC Swahili Tido Mhando.
Bwana Juma Nkamia alikuwa akivisakama vyombo vya habari na waandishi wenzake akiwaita makanjanja, baadhi ya media alizozisakama sana ni pamoja na Jamii Forum, kwa kujiona yeye ni mwandishi maarufu na aliwahi kiajiriwa BBC Swahili.
Sasa tangu bwana Tido amtupie dongo kali kuwa hajawahi kuajiriwa kazi BBC bali alikuwa ameenda kwa mafunzo na alikuwa akipewa kusoma taarifa ya habari tu kama sehemu ya masomo mheshimiwa huyu hajawahi kujibu tuhuma hizo wala kurudia kuvisakama vyombo vya habari tena.
Jamaa kashushuliwa hadi moyo wangu umesuuzika maanake alikuwa anajitutumua sijui alikuwa anatafuta uwaziri wa habari na utangazaji.
Mheshimiwa umebugi men.