Mchungaji Msigwa aboronga Bungeni

Mchungaji Msigwa aboronga Bungeni

Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.

Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.

Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.

Nawasilisha.

ya mulugo "tanzania is the union of two islands (tanganyika and zimbabwe in 11964)" umeisahau eeeeh!!!!!
shame on you masalia.
kweli nimeamini kuwa mla ndizi husahau ila mtupiwa ganda hasahau.
 
Umakini unakosekana sana kwa viongozi wetu. Kwa sababu tumewazoesha kuwashangilia wanadhani wanaweza kuropoka tu na watapata makofi. Pole Msigwa, jitahidi uwe unajiandaa kamanda!
 
Chanzo cha kuteleza ulimi ni ukosefu wa elimu
Mbona kuna PROFESA juzi kasema Mengi anamiliki Dar es salaam tatu. Naye amekosa elimu? au uprofesa wake ni sawa na udocta wa JK?
 
Tukiacha ushabiki hoja ya Msigwa ni ya msingi sana. Kuna haya ya serikali kuweka mkakati wa makusudi kuwa na nishati mbadala kwa bei nafuu.
 
Mkuu, kwa sisi tunaodeal na data, kosa la msigwa limetokana na kupresent data za uongo. kosa lake hajui nini alikuwa anakisema. unajua kwenye ulimwengu wa data, kosa la kitakwimu ni baya sana kuliko spelling mistake. Msigwa ajitokeze na aombe radhi ili asiharibu kumbukumbu za bunge
umuhimu huo wa data ni pale ambapo mtu hafahamu magnitude ya jambo hivyo data humsaidia kulitazama na kulipima hata kama hajaliona/sense physically...kwa mfano mtu hajawahi kufika sehemu flan tokea Dar ni rahisi mtu kuelewa kwa kukadiria utakapomtajia distance ili mipango yake ya safari i-regard hiyo takwimu,lakini hapa kwenye issue ya msigwa usahihi wa takwimu ulikuwa ni kitu additional tu,maana hali ya uharibifu wa mazingira nchini iko wazi sana...So haikuwa na madhara yeyote kwenye mantiki na ndo maana Mjibu swali alijibu bila shida.
 
Mleta maada una matatizo binafsi, kukosea vipimo ni swala la kumdharau kiasi hiki?, hata wewe umekosea, hekta moja siyo sawa na ekari 2.5 isipokuwa hekta 1 = 2.47 eka.Uwe mstaarabu kwenye issue zinazohusu taaluma
 
kichwa kama huyu
1467347_666543680052437_967386317_n.jpg
Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.

Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.

Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.

Nawasilisha.
 
Nawachukia wanaojadili na kuendeleza hoja za wajinga kama mtoa post hii, Mimi siamini kama maana ya Mch. Msigwa alikuwa na lengo la kuleta ujumbe wa ku convert acre kwenda hekta, Mtoa unajuaje kuwa pengine lengo lake ilikuwa ni kusema eneo linalokatwa na hizo zingine ni tani ? ulimi unaweza kukosea lakini pia walipaswa waliomo bungeni waulize anamanisha nini kama kweli alikosea ?

Naomba mleta hoja utuambie wabunge waliweza kukosoa ? usije ukaandika porojo humu kwa sababu tu wengine hatujapata fursa ya kusikiliza
 
Mkuu, umevurugwa wewe. Msigwa kasema kuwa EKARI 300 ni sawa na HEKTA 800. Mbona unamlisha maneno wewe?
Katika wapuuzi Lizaboni ni miongoni , hivi inaonyesha hesabu hukusoma wewe, kama hekta 300 sawa na
ekari 324 , hapo uki round off into hundreds inakuwa ngapi ? kuwa mwana CCM ni janga , unajadili maneno badala ya kujadili hoja
 
lengo kubwa si vipimo ila ni jinsi ya serikali itavyopunguza uharibifu wa mazingira, kama uko uko vizuri ungekubaliana kwanza na Msigwa coz 92% watanzania wana wanatumia mkaa na kuni ambayo ni tishio kwa mazingira na misitu kwa ujumla
 
Mleta maada una matatizo binafsi, kukosea vipimo ni swala la kumdharau kiasi hiki?, hata wewe umekosea, hekta moja siyo sawa na ekari 2.5 isipokuwa hekta 1 = 2.47 eka.Uwe mstaarabu kwenye issue zinazohusu taaluma
Duh! Yaelekea hesabu za desimali zilikupiga chenga kweli
 
Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.

Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.

Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.

Nawasilisha.
dah asee we unajingine lako...badala ya kustiki kwenye msingi wa hoja we unakomaa na human errors...idiot siku nyingine tuletee hoja za msingi bna maelezo kibao pointless..
 
lengo kubwa si vipimo ila ni jinsi ya serikali itavyopunguza uharibifu wa mazingira, kama uko uko vizuri ungekubaliana kwanza na Msigwa coz 92% watanzania wana wanatumia mkaa na kuni ambayo ni tishio kwa mazingira na misitu kwa ujumla
Kwa hiyo kulikuwa na umuhimu gani wa kutaja hizo namba? Msigwa kavurugwa kwa hili. Wala msimtetee
 
dah asee we unajingine lako...badala ya kustiki kwenye msingi wa hoja we unakomaa na human errors...idiot siku nyingine tuletee hoja za msingi bna maelezo kibao pointless..
Mkuu, hoja yake ingekuwa na mashik kama data alizotoa zingekuwa sahihi
 
Nawachukia wanaojadili na kuendeleza hoja za wajinga kama mtoa post hii, Mimi siamini kama maana ya Mch. Msigwa alikuwa na lengo la kuleta ujumbe wa ku convert acre kwenda hekta, Mtoa unajuaje kuwa pengine lengo lake ilikuwa ni kusema eneo linalokatwa na hizo zingine ni tani ? ulimi unaweza kukosea lakini pia walipaswa waliomo bungeni waulize anamanisha nini kama kweli alikosea ?

Naomba mleta hoja utuambie wabunge waliweza kukosoa ? usije ukaandika porojo humu kwa sababu tu wengine hatujapata fursa ya kusikiliza
Mkuu, hakuna cha kuteleza ulimi ila aliongea alichokimaanisha
 
Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.

Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.

Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.

Nawasilisha.
siamini kama alikuwa anaelewa alichokuwa akikisema. hivi tanzania ina ekari ngapi mpaka watu wakate ekari 300 kwa siku. si ndani ya mwaka mmoja nchi ingekuwa haina hata mti mmoja? yaelekea hesabu zinapiga chenga na hajui hata tanzania ina ukubwa gani. labda arudi madhabahuni tu ndo kunakomfaa. sijui na huko atakuwa anawaongopea watu? da!
 
Back
Top Bottom