Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
- Thread starter
- #21
Mkuu, ina maana Msigwa anataka watu wakatazwe kutumia kuni?
Hiyo ya hesabu siwezi kushangaa kwa sababu Msigwa na Bavicha ni kiwango sawa. Ila nataka kujua hoja yake ni nini, je, watu wakatazwe kutumia kuni?
Mkuu, hakika hata alichokuwa anakusudia kusema hakijulikani. sijui alitaka serikali itoe tamko la kuzuia wananchi wasitumie kuni au. n=yaani nimeshangaa sana kwani msigwa anajua kuwa serikali kwa sasa inatekeleza mkakati wa kuboresha nishati ya gesi nchini