Mchungaji Msigwa aboronga Bungeni

Mchungaji Msigwa aboronga Bungeni

nenda kwenye topic kwanza.usikurupuke na wewe.usipoteze lengo

Uzito wa Topic ni TAKWIMU iliyotolewa.

Kwa mfano, nikisema Nauli ya Dala dala ni kubwa. Halafu takwimu yangu ikasoma hivi- Nauli ya dala dala kwa trip moja ni sawa na Dola za kimarekani 30 ($30)...............

Hapo kichwa habari kinafunikwa na $30 kuliko USAFIRI WA DALA DALA NI GHALI.

Rudi nyuma kumbuka kidogo somo la kiswahili...............Kiini cha ujumbe.....
 
Mbunge wa viti maalumu(CCM),Mary Machuche Mwanjelwa(48),amekumbwa na kashifa ya wizi wa mkufu wa shingoni wakati wa ziara yake ya kibunge nchini Ubelgiji September mwaka huu.

CHANZO:Raia Tanzania.

MY TAKE:
Ule msemo wam "CCM ni sawa na ukoo wa panya" unazidi kujidhihirisha.

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO, JE NI KIAPO CHA CHAMA GANI?

Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.

Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.

Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.

Nawasilisha.
 
ungeanza na hoja ya simbachawene ya vibatari ambayo amedai alinukuliwa vibaya , tatizo la buku 7 ndio hilo mnachukua swali la pili mnaacha swali la kwanza,
 
Hapa issue siyo hiyo hesabu, issue hapa ni hilo tatizo la kukata miti hovyo na kuharibu mazingira, lakini kwa sababu watu na watanzania wengi wanataka petty politics, ndo maana thread kama hizi zinaanzishwa!
 
maelezo yote hayo na kubwabwaja kote ni kwasababu tu amesema 800 badala ya 121? Aaaah hujaona suala la nishati na uchafuzi wa mazingira bali umeona amekosea namba za hekari. Idiot kabisa haya kapewe na wewe buku 7 yako,sorry kumbe siku hizi mnapewa 10.

kumbe wamepandishiwa na mimi nikaombe usajili huko.
 
Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.

Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.

Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.

Nawasilisha.

Tupo job watu wewe upo home unaangalia TV ndiyo maana mnapika mjungi jf.
 
Mkuu, ina maana Msigwa anataka watu wakatazwe kutumia kuni?

Hiyo ya hesabu siwezi kushangaa kwa sababu Msigwa na Bavicha ni kiwango sawa. Ila nataka kujua hoja yake ni nini, je, watu wakatazwe kutumia kuni?

Uelewa wako wa ngumbaru umeishia hapo? hoja hapo ni serikali inajipangaje kuwawezesha wananchi wake kutumia vyanzo mbadala kama vile kupatikana umeme wa uhakika,gesi n.k badala ya kuni na mkaa.
 
How far from Dsm to Tanzania? Is the same as Bombay to India.....hahaha!
 
Msigwa kila kukicha yupo Fb na misemo ya inayotumwa kwenye sms za kufoward hoja hana uwezo wa kujenga hoja ungetaraji nini kwa mtu kama huyu?
 
ungeanza na hoja ya simbachawene ya vibatari ambayo amedai alinukuliwa vibaya , tatizo la buku 7 ndio hilo mnachukua swali la pili mnaacha swali la kwanza,

Mkuu, hoja hiyo ameshaitolea ufafanuzi na wewe unajua. au una hoja nyingine kwenye hiyo hoja? Simbachawene amesema kuwa anaviheshimu vibatari na ndivyo vilivyomsaidia hadi amepata mafanikio makubwa ya kielimu
 
Tupo job watu wewe upo home unaangalia TV ndiyo maana mnapika mjungi jf.

Mkuu, inategemea unafanya kazi gani. kama upo pale kariakoo unabeba magunia ya viazi, huwezi kuangalia TV wala kuingia net.
 
Na sio kwamba kakosea hesabu, yeye kaleta 740 kwa mia ya karibu ambayo ni 800. Lakini kwa kuwa jamaa ni matakho, kaona kama kampatiiiiia kweli!
 
Hawa vijana wa ccm uwazumu anao yani aliyoongea yote we cha muhimu ni kukosea hesabu,. Acheni upunguani nyie lumumba buku7 fc

Acheni upuuzi hamkosolewi? Mnakuwa kama mabuabua hamtaki waume zenu wasiambiwe hebu fikiri 121 na 800 kuna umbali kiasi gani na huku si kukosea bali dhamira tu ya kuongopa.
 
msigwa amezidi kukurupuka mambo yake hafanyi kwa umakini atazidi kupata aibu sana sehemu mbali mbali.
 
Mkuu, hakika umesema ukweli. Nawashangaa sana hawa wanaomtetea msigwa wakati amekosea.
 
msigwa amezidi kukurupuka mambo yake hafanyi kwa umakini atazidi kupata aibu sana sehemu mbali mbali.

Mkuu, nijuavyo mimi, wachungaji wa kiroho ni watu makini sana. Ila wachungaji wa wanyama hasa nguruwe wanatakiwa wawe kama misukule maana katika wanyama wasio wastaarab ni pamoja na nguruwe. sasa sijui mchungaji msigwa na yeye amejitoa kwenye uchungaji wa kiroho na kujipachika uchungaji wa nguruwe!
 
Nadhani kama Watanzania tunatakiwa kuwa na hekima katika kufikiri! Ni wakati wa kujenga nchi yetu na si kudharauliana kwa mapungufu madogo ya kitakwimu yanayojitokeza. kwa utashi wangu sahihi kabisa aliyemkosoa Msigwa pia amekosea kanuni; kama mwalimu wa kujitolea naomba kufundisha kwa njia ya kienyeji kabisa japo ningeweza kutumia njia kuu:-

1. Hekta moja ni sawa na mita za mraba 10,000 (kumi elfu)
2.Ekari moja ni sawa na mita za mraba 4900
3. Ekari mbili ni sawa na mita za mraba 9800
4. ukitoa katika namba 1 hapo juu unabakiwa na mita za mraba 200 (mia mbili tu)! Hapa naweka kituo kidogo

ukitazama hapo juu hekta moja ina ekari mbili na mita za mraba mia mbili tu! Nusu ya ekari ni mita za mraba 2450 kwahiyo 200sq mtrs haiwezekani hata siku moja kuwa 0.5 ya ekari moja lakini 1hactare = 2.04acreage

kama tukikosoa kuwa alikusudia hekta 300 ambazo ni ekari 800 bado si vibaya kumkubalia maana computation inalala within hekta 300 na 392

Sipendi kumalizia huu mchanganuo maana mwalimu mara nyingine huacha wanafunzi wang'amue ukweli wenyewe!

Nawaomba tusiwe tunatukanana bali tuwe tunaeleweshana na kuzingatia hoja! Vyama vyetu vitakuwepo tu lakini haviwezi kukosa mapungufu kinachotakiwa ni kukosoana bila chuki na matusi yaliyovuka mpaka na kupotezeana thamani ya utu wetu!

Mimi ni mgeni jamani ndo kwanza naandika kwa mara ya kwanza leo tafadhali msinifukuze!
 
Tupo job watu wewe upo home unaangalia TV ndiyo maana mnapika mjungi jf.

mkuu wewe kituko kweli unadhani kwa vile afisi yako haina tv ndiyo ofisi zote hazina tv tafakari kabla hujaandika unatia aibu ofisi nyingi zimejaa tv pole wewe usiye na tv ofisini.
 
Back
Top Bottom