Mchungaji Marufuku Kukanyaga Chini

Mchungaji Marufuku Kukanyaga Chini

kama hawana maarifa kichwani hata viboko wapigwe tu
 
Kama sio Nigeria ni hapa tz ndio kuna wajinga wajinga wa namna hiyo
kwa hiyo background hapo ni bongo maana nigeria walishawachoka w=hawa na bongo yanachipukia
 
Dah! Ila hii staili ya kubebwa mgongoni hii asije akamgeuza muumini tigo pesa maana mwanzo wa ngoma ni lele.
 

Attachments

  • 1454641102543.jpg
    1454641102543.jpg
    59.4 KB · Views: 29
Mchungaji na waumini wake wote wapumbavu. Ila waumini ndio wapumbavu zaidi. Huyo jamaa badala akambebe mke wake au watoto wake amekazana kulibeba dume lenzake.
 
waumini wenyewe wanashika vichwa khaa...hii dunia inaenda wapi???
 
Nimeshasema ukiwa na akili kubwa ni vigumu sana kuwa muumini wa hizi imani za kidini.

I mean, hivi kweli hao washikaji wana akili timamu hao?

Sidhani aisee.

Nimefumua Biblia yote kuona kama ntapa mahali kuna maelezo ya kutetea huu upuuzi japo kwa mstari mmoja tu sijauona.

Nashindwa hata kuelewa hii ni imani mpya au ni hizihizi za kwetu zimeepiga hatua?
 
Nimefumua Biblia yote kuona kama ntapa mahali kuna maelezo ya kutetea huu upuuzi japo kwa mstari mmoja tu sijauona.

Nashindwa hata kuelewa hii ni imani mpya au ni hizihizi za kwetu zimeepiga hatua?

Huo ni uwendawazimu tu mwanzo mwisho, mbele nyuma.
 
Hizi ni nyakati za mwisho na haya yote yalitabiliwa,
Biblia imetahadharisha kuhusu wanaojiita watumishi wa Mungu kumbe wanawateka watu kwa elimu yao ya bure lengo ni kutengeneza Pesa mambo haya kwa wasiolielewa neno la Mungu kwa ufasaha ni raisi kuchukulikuliwa na kila upepo.
 
kuongozwa na roho MTAKAVITU.....mchungaji anatafuta VITU(maslahi) na waamini wanatafuta VITU(uhitaji) atafutwi MUNGU hapo...
 
Alikua akifundisha kwa MIFANO. Halikua tukio la muda mrefu. Msilaumu kila kitu, kwani mlikuwepo? Kuna mtu.kauliza hapo juu kwamba "aliendaje chooni?" Mpeni jibu...
Hawa ndio wanywaji wa kilevi kinachoitwa DINI, Mfano gani huo wa kupandiana migongoni, ndio maana wwngine wanaishia kuolewa.
 
Back
Top Bottom