Mchungaji Marufuku Kukanyaga Chini

Mchungaji Marufuku Kukanyaga Chini

Inategemea ni imani gani mtu anaamini,zipo za kweli na fake.
 
hamjawahi kuwaona wale wanaotembea eskot ya nguvu mpaka unajiuliza ni nini,vituko vitupu!
 
Ndio maana wengi sasa wameamua kusilimu na kua waislam
 
Tunaangamia kwa kukosa maarifa. Halafu hao jamaa kama makondoo wanaoenda kuchinjwa wanakubali tu kukanyagwa!
 
kwenye hizi imani kuna wanaume watakuja kufanyiwa mchezo mchafu.
 
UKRISTO Ni km Movie flani isio na Mwisho! Halafu kila siku ma actor wanabadilishwa .
.teh teh teh teh.

Na bado. Tutaona mengi zaidi.

Hizi imani za kuanzisha mitaani Balaa sana.
 
Back
Top Bottom