Kama sio Nigeria ni hapa tz ndio kuna wajinga wajinga wa namna hiyo
hii naona ni TZ.....ndio kuna creatures wa kukubali haya
cc Nyani Ngabu
Hizi dini zimeenea sana hata hapa bongo na wengi wameathirika. Kuna mnigeria mmoja ana kanisa hapa bongo alimwambia mama mmoja muumini wake kuwa ana mapepo saba na ili amtoe hayo mapepo sharti atoe sh.milioni moja kwa kila pepo. Yule mama akabaki kuhangaika kwa ndugu kuomba hizo pesa zijui kama walimpa. Wengi walimshauri kuwa anatepeliwa lakini alionekana kutosikia chochote.Nimeshasema ukiwa na akili kubwa ni vigumu sana kuwa muumini wa hizi imani za kidini.
I mean, hivi kweli hao washikaji wana akili timamu hao?
Sidhani aisee.
Hizi dini zimeenea sana hata hapa bongo na wengi wameathirika. Kuna mnigeria mmoja ana kanisa hapa bongo alimwambia mama mmoja muumini wake kuwa ana mapepo saba na ili amtoe hayo mapepo sharti atoe sh.milioni moja kwa kila pepo. Yule mama akabaki kuhangaika kwa ndugu kuomba hizo pesa zijui kama walimpa. Wengi walimshauri kuwa anatepeliwa lakini alionekana kutosikia chochote.
duniani ukizidiwa akili kdogo tu imekula kwako
kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na majani yanayoliwa ni yale yaliyokaribu na mbuzi husika..Umeona eeh?