Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,279
sijavaa kabisaBasi sisemi tena watu wasije kuona bure
sijavaa kabisaBasi sisemi tena watu wasije kuona bure
Ohoooo!!!unamaana gani kutumia hayo maneno kwenye hii post?Siku hizi mjini Chuo na kijini shule siyo shamba kama zamani.
Ohooooo!!!Mkeo mzuri?!...sio nitoe mchango unaenda kuoa mzee
sijavaa kabisa
Amen,,,,,amen, , amen,,. Ongeza maombiHongera mchingaji, mpango Wa mungu unaenda kukamilika ndani yenu..
Amen,,,,,amen,,,,,,amen. Namshukuru Mungu,,,,,,,,wewe ongeza maombi tuuuHongera mtumishi,Mungu awatangulie mfanikishe salama
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we unadhani atakua nani kwa humu Jf??????Mke mwenyewe ni yupi
Hebutonyeshe kama yupo humu
Karibu sana,,,,,,,ntafurah sana nikikuonaaa,,,,,,,my dada. Ukija ntakupaaaa zawadiiMchungaji hongera sana. Nitakuja kula pilau
Siriaz sifaham ndio maana nimeuliza kama hutajal niambie[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we unadhani atakua nani kwa humu Jf??????
[emoji120] [emoji120] [emoji120] ongeza Emanuelkiongozi maombi tuuHongera sana mkuu.
Hapana yeye hayupo humu.Siriaz sifaham ndio maana nimeuliza kama hutajal niambie