Mchungaji illovo: Mwaliko wa harusi

Mchungaji illovo: Mwaliko wa harusi

Bwana Yesu asifiwe,

Poleni na majukumu wana JamiiForums wenzangu?

Ninayofuraha kuwashirikisha jambo jema la furaha na baraka. Kwamba mimi Mchungaji wenu ninatarajia kufunga mnamo tar 27--05--2017 jijini Dar.

Natarajia kufunga na mrembo Brightness Emmanuel.

Hivyo mkiwa kama ndugu na marafiki wa karibu napenda kuwashirikisha baraka hii. Hakuna mchango kamili ila unaweza kuchangia kama baraka kwa kias chochote Mungu atakachokuwezesha.

Lakini kwa pia ambao bado hawajaoa/kuolewa unaweza kujiunganisha kwa kuchangia chochote ili nawe Mungu aweze kukufungulia mlango mapema wa kupata mwenza wako. Ninaomba siku hiyo wanaJF mjitokeze kwa wingi tufahamiane vizuri. Bibi anatarajiwa kuvalishwa na mwana JF dada Apologise lady.

Unaweza kutumia namba hizi kushiriki baraka hii:

Vodacom= 0757856336
Airtel = 0788599211
Tigo. = 0673100772
Halotel. = 0623328088

KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI
Mchungaji kumbe ulikuwa haujaoa unakula tu kundini mchungaji jamani??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Bora Mungu ameona utamaliza kondooo wake akaona akupe lindo lako.
Hongera sana niombee na mimi nipate windo mchungaji au ndiyo hivyo no free mercy!

Kumbuka Yesu anasema ulipewa bure toeni bure.
 
Hongera sana mkuu!!! Unajiopolea jikooo!!! Bye bye mama ntilie!!! Alililililiiiiiiii!
Paprika ebu nitoe kimasomaso twende sambasamba na mchungaji Illovo..! [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Make mwisho nitabaki senior bachelor mwenyewe hapa jukwaani.
 
Paprika ebu nitoe kimasomaso twende sambasamba na mchungaji Illovo..! [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Make mwisho nitabaki senior bachelor mwenyewe hapa jukwaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hongera sana.

ivi mchungaji anaweza kujifungisha ndoa?
ivi mchungaji anaweza kufungisha ndoa akiwa hajafunga ndoa?
 
hongera sana.

ivi mchungaji anaweza kujifungisha ndoa?
ivi mchungaji anaweza kufungisha ndoa akiwa hajafunga ndoa?
Hapana,,,,,mchungaji hawezi kujifungisha ndoa mwenyewe..

Na mchungaji asiye na mke,,,,kufungisha ndoa,,,Sio sifa bora ya Uchungaji. Nadhan ili uwe na kibali cha kufungisha ndoa ni lazma serikali ikupe kibali,,,,,lakn Kiutumishi ni lazma uwe na mke
 
nimekuelewa mtumishi kumbe inatofautiana ule usemi kinyozi hajinyoi na hanyoi kabla hajanyolewa
 
Back
Top Bottom