Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mkuu nimependa hizo paragraphs
 
Wenyewe wako bize kuuliza sifa za mtu kuwa mkuu wa mkoa wakati wenzao hoja yetu ni uadilifu kwa mtu anayekuwa Mkuu wa Mkoa!!
Uadilifu ni muhimu. Uadilifu pasipo elimu kwa cheo cha mkuu wa mkoa ni bure. A physician without education is a witchdoctor.
 
Lipi linaangamiza taifa Kati ya madawa ya kulevya na vyeti vya mtu?
 
Nilikuwa naangalia interview ya Mama na Mzee Bashite nilicheka sana, wamediriki hadi kusema Daudi ndiye the one and only son
 
Hebu ongea basi wewe kitu chenye maana,ilipaswa iende wapi?
 
Asante mkuu somo mubashara
 
Huyu Daudi Bashite a.k.a Paul Makonda,kumbe ni kilaza kiasi hiki?
Degree anaandika Digree. Jamani huko shule alienda kusomea ujinga?(In Faizafoxy voice)
Watu wa Misungwi mpo ? Vijana wa 1982 Misungwi tupatieni data
 
Hiyo degree haina maana kama huku chini yaani form four alipata fafafa zote
 
Huyu Daudi Bashite a.k.a Paul Makonda,kumbe ni kilaza kiasi hiki?
Degree anaandika Digree. Jamani huko shule alienda kusomea ujinga?(In Faizafoxy voice)
Typing errors za wadada wa Steshenari tu hizo
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,hii si kana kwamba aliandika mwenyewe,nafikiri mnajitoa tu ufahamu,mnajua hilo bango linapatikanaje,mna tofauti gani na Gwajima kusema ana vyeti vya Mh,Makonda vya Form 4 zilo? 0!
 
Chadema: JK alisema ana majina ya wauza dawa za kulevya kwanini serikali isiwataje hadharani ili watanzania wawafaham na serikali iwashughulikie ipasavyo

Makonda: Wema,TID, chid benzi,lulu diva,rommy jons, nk

Chadema: Hii serikali ni ya ajabu sana yaan inawataja watumiaji na waathirika wa madawa ambao badala kuwapeleka soba wao wanawaweka mahabusu, tunataka muwataje mapapa sio hao wagonjwaa.............

Makonda: Manji, Azan, Gwajima, Mbowe nk

Chadema: Makonda alinunua cheti cha mtu cha elimu, yeye jina lake kamili ni Daud Bashite, Rais mtumbue, mtumbue

Makonda&watanzania wazalendo: ???????

Chadema: Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite

Unadhani chadema wanataka nini????
 
Duuuuh
Hii sijaipata hii,kwa hiyo hata mke analijua hilo jina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…