Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

ficha ujinga wako wewe

Watu kama wewe Jf mmefikaje. Adm unapokea mpka watu wasiojua kuna tofauti ya maoni na kufikiri. Sasa mjinga nani kama sio wewe huna argument unakashfu tu. Hujiulizi kama anaweza akawa hata sponsor wako anayekulipia ada yako ya form 2 kama kweli unasoma.
 
Mipoliccm inasubiri nini kumkamata Daudi? Huyu Daudi aka Makonda upo uwezekano ni jasusi kubwa
 
sizonje pekee ndo anayejua hatma ya daudi Albert bashite
 
Sasa baada ya hili vuguvugu kuanza angeifuta haraka kabla haijatiliwa maanani.. Au ndio mpango wa Mungu?
akiifuta tu itakuwa evidence kabisa kuwa daudi beshite ndio huyo huyo haswaa
 
Yani hapa sio suala la Bashite kujitokeza kujibu tuhuma, ni suala la polisi kumkamata Bashite na kumfikisha kortini. Alichofanya ni jinai!
 
Mara nyng njia unayotumia kupanda ngaz ndyo utakayoshukia bwana daudi alichagua shortcut way kufikia kilele cha mafanikio na kweli alifanikiwa kwan akiwa kijana mdogo below 30 ashakuwa mtu muhimu na mwenye nguvu ktk serikali sasa naliona anguko lake ktk njia ileile aliyopandia ni muda tu utaongea
 
Acha kutetea ujinga.angekuwa anajisomea kama wenzie asingepata zero mkuu
kumbe hili bwabwa lilikua kilaza toka zamani
 

Cardinal Pengo ni msomi mwenye busara, I believe angefanya appointment na Rais watete na Rais angalichua hatua bila mtumishi wa Mungu kumkwazo kondoo wake! Anyway kila binadamu na staili yake ya kuta wala kama makonda alivyoamua kuwatuhumu raia wema na wabaya!
 
Tulizoea uhakiki wa vyeti wa kuangalia kama cheti ni feki au halisi, ila kwa huyu jamaa anatakiwa akahakikiwe kijijini kwao. tena taarifa za kuhakiki zotoke kwa jirani yake aliyemnyima chumvi.

Kuna classmates wa Rc Makonda form one mpaka form four, kulikuwa na vilanja, waalimu wake mpaka form four, mwalimu mkuu, waalimu wa taaluma, sasa shida iko wapi, kila terminal exams form one mpaka four na kadhalika......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…