Huyu Gwajima....ukisikiliza maelezo yake anasema DAUD BASHITE hakuweza kufauru darasa la saba..
Swali DAUD BASHITE aliwezaje kujiunga form 1 katika shule ya Secondary Pamba ambayo ni shule ya serikali nakipindi DAUD BASHITE anaingia form 1 shule kama PAMBA, MWANZA SECONDARY, BWIRU BOYS,BWIRU GIRLS, NSUMBA BOYS na NGAZA GIRLS zilikua ndizo shule zinazochukua wanafunzi wenye ufauru mzuri katika manispaa ya MWANZA.
Nakuomba Mchungaji Gwajima uka revise uhuu ushahidi wako.
USHAURI WANGU KWAKO GWAJIMA.
Mchungaji GWAJIMA wewe ni kiongozi wa dini, nyuma yako kuna kundi kubwa la waumini, haya masuala ya kina DAUD BASHITE/PAUL MAKONDA ungeachana nayo na ukawekeza nguvu nyingi katika kumtumikia MUNGU kama Mchungaji.
Kama kweli yeye ni Mchungaji amuige Yesu, alipofanyiwa mabaya hakulipiza alimuachia MUNGU.
Soma 1 Petro 2:23.
ALIPOKUA AKITUKANWA HAKUJIBU KWA MATUKANO, ALIPOKUA AKITESEKA HAKUTOA VITISHO BALI ALIENDELEA KUJIWEKA
MKONONI MWA YULE AMBAE ANAHUKUMU KWA UADILIFU.
GWAJIMA jifunze kua na akiba ya maneno, Ukiona kondoo kapotea hupaswi kubwabwaja. Unatakiwa utafakari namna ya kumrudisha katika zizi achangamane na wenzake.