Kwanini haya hayakusemwaa kabla gwajima haja tajwa kwenye sakata la wauza unga?? wuza unga wana njia nyingi za kukwamisha juhudi za kupambana na mihadarati. sasa hivi wanataka kupoteza focus, pia kuyumbisha serikali ili wasishughulikiwe. Mimi namuombea makonda apandishwe hata cheo ili wuza unga wazidi kuumbuka, maana naona baada ya kuwataja wanatumia kila njia kuhakikisha wanaikwamisha serikali. Naamini kwa utawala huu hawataweza.