Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Ataisoma number
 
Tulia wewe, husisome mstari mmoja kwenye biblia, kuna mistari mingi tu watumishi wa Mungu walipigana na waovu tena wafalme

Achs kudanganya umma. Hapa ni kashfa kwa mtumishi. Sasa mtumishi ndo alipe kisasi. Biblia yako we unaisoma kama novel. Ujumbe wa Mungu uko wazi atakayevumilia mpka mwisho ndo atakayeokoka. Mchungaji kazi yake ni kuwafanya watu wamkaribie Mungu iwe kwa kusema. Kuonya. Kukaripia nk itakuwa mtume Paulo sikumbuki. Lakini yeye magumu yanapomkuta anapaswa kumkabidhi Mungu. Kibinadamu angeweza kujieleza yeye kuwa hauzi wala hatumii. Mali zake anazipata kwa njia hihi na hii nk. Lakini sio sasa kumfuatilia mtu. Huo sio unabii ni ushambenga. Sisi wakristo njia. Yetu ni Kristo. Ukweli wetu ni Kristo na uzima wetu ni Kristo. Kama yeye alivyokabidhi mateso yake. Mwanafunzi wake. Mkristo hupaswa kukabidhi mateso na mahangaiko kwa bwana. Njia hii ni ngumu. Sio rahisi. So. Makonda awe na makosa yake. Ok but sio kazi ya askofu kukaa kanisani na kuropoka. Its never done like that. He is or ought to be a Man of God. Now kama ataanza kutumia neno hivyo je akinza na siri za waamini wake anaowahudumia.
 
Kama namuona ndalichako ameshika wembe na jopo lake la wakaguzi af wanasita maana jipu lipo usoni kwa mkuru sasa ni kasheshe tupu af mashabiki wamasema tumbuaaaa
Mkuu malipo ya ubaya ni hapahapa duniani na siku zote ubaya hauna kwao inafaa atumbuliwe kwa style ile aliyofanyiwa marehemu kabwe "nimtumbue nisimtumbue mtumbueeeeee!"
 
Rejea CV yake hapo juu. Wakati mwingine usitangulize njaa kwenye masuala muhimu, tumia akili
Kuna suala gani muhimu hapa
Hiyo ni CV ya Makonda inawezaje kuitwa suala muhimu kwangu?
Hata wewe una CV yako na Mimi Nina CV yangu sasa tatizo liko wapi?
Njaa kila mtu anayo na hatuombani pesa maana kila mtu anajua wapi atakula au wapi atapata pesa
Wewe utahongwa wakati Mimi nazisaka.
 
Dah mumeamua kumvua mpaka boxa kabisa!! Watu nyie kweli siasa si hasa!!
 
Kuuuuuumbeeee!!!basi muheshimiwa ana nyota ya kunguru kwenye elimu lakini kimafanikio ana nyota ya jah
 
mvuvi makonda shikamoo Cv imeshiba nene kama lemutuz zomeeni hilloo
 
sasa hiyo ya kuzaa ama kutozaa nayo ni part ya cv kweli,kama ni ivo basi tuliosoma zaman inabd turud tena shule maana mitaala imebadilika sana
ni party ya cv mkuu, we huoni katika cv kuna kipengele cha kusema single or married lazima uweke
 
Mungu mwema. Huyo ndio Askofu, Dr. Josephat Gwajima. Askofu tajiri zaidi kuliko wote Tanzania. Aliwahi kusababishiwa ukiwete (paralysis) mwaka 2015 punde kabla ya uchaguzi akatembea kwa wheel chair lakini kupitia maombi akanyanyuka tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…