Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Poleni sana
 
Angalia wasichome office, kupoteza ushahidi, hawashindwi hawa jamaa!!
 
namalizia kusoma the art of war.ili nijekulinganisha mbinu zinazotumika katika vita hii.
 
now, this is one hell of a blockbuster!
 
Ni mda sasa wa Mh Rais kumpandisha cheo Makonda maana hizi kelele ni baada ya vita dhidi ya dawa za kulevya kabla ya haya mbona hawakusema naimani hili zoezi la Makonda limefanikiwa na apewe cheo.
 
Bwahahaahahahahaha
“Maombi hayawezi kubadilisha vyeti feki kua original” - Mzoefu wa Maombi.
 
Ha ha haaaa...eti huyu nae Mchungaji! kuna watu wengine wanasababisha nitende dhambi tu!

Madhabau ya Bwana imekuwa mahala pa mipasho na masimango.? na mnao sali huko mna akili kweliii?

Mfyuuuu........aweke vyeti makonda aumbuke
 
Naona ana history ya failures, tangu darasa la nne? Sasa kweli tunategemea a excel kwenye uongozi? JPM si alidahili wateule wake? Huyu alipitaje? Je ni yeye peke yake ndiye ambaye hakufanyiwa udahili wa kina?
 
Watanzania bhana ...bila shaka mnataka ata mkuu wa kata nae tuhakiki vyeti vyake,uraia n.a. PhD
 
huyu si mchungaji kabisa jamani. yeye si alisema ameshamsamehe Makonda? Je, hivi vijembe vya nini tena!

Naomba huyu jamaa achunguzwe uhalali wa Profession yake uenda akawa ni mchekeshaji tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…