Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Aende akapige QT asilete usanii,watu wametoil?ye anataka njia za mkato .....
Mkuu nakumbka kipind cha olevel unagongea kibatari ama tochi ili utoboe O-level ikawa fresh A-level hivyo hivyo chaka pori Asubuh mpak saa 9 af usiku prepo nzito ili mtu utoboe alafu mtu mwingne awe ni magumashi alafu mjuaji inakera sana
 
Acha kushabikia ujinga, kama ni kweli kafoji anastahili kunyanganywa na hizo certificate zote, kama kaweza kufoji cheti ujue kuna vitu vingine vingi anafanya kwa kulazimisha,

Assume angekuwa ni daktari wa muhimbili
 
Narudia tena, Tanzania hii hakujawahi kutolewa cheti kwa aliyepata zero. Kama una cheti na ulipata zero, kiweke hapa tukuonyeshe ni fake na hakijatolewa na NECTA.
Cheti cha aliyefaulu kiko, na results za wote ziko.
 
Kwahiyo unataka kuhalalisha haramu?
 
Niliwahi kuona video clip ya wazazi wa Makonda wakihojiwa Clouds tv katika kipindi cha take one,ningependa kufahamu baba yake alijitambulisha kwa jina gani alipokuwa anahojiwa na Zamaradi Mketema kama na yeye aliongopa awekwe kikaangoni.
 
Kile kichwa cha Gwajima ninakiaminia, Bulembo mwenyewe alisarrender.

Mkuu Bashite aligusa pabaya...haya nilijua yatakuja...shindana na Gwajima kama upo clean 100% (kitu ambacho sio rahisi) ila kama una makandokando yako achana na Gwajima...atakumaliza.

Zaidi ya yote Dr G unajua sana kukuza jambo hata kama ni Dogo kiasi gani linaweza onekana kubwa balaa. Mtu una vyeti feki unaanzisha bifu na Gwajima???hujitaki.
 
Makonda ni hodari sana kuvitumia vyombo vya habari,Nasubiri nione akivitumia ili akanushe tuhuma hizi vinginevyo vyombo vya Habari vimtafute atuambie ukweli wa hili.
Tukumbuke wengi wamepoteza ajiri zao kwa ajili vyeti vya kughushi Kwa nini yeye a achwe? Wapi Ndalichako? Wapi NGOSHA?
 
Tumsifu bwana yesu kristo
 
Mchungaji akuanzaye mmalize
 
Bwana Bashite kayataka mwenyewe sasa yanamtokea puani
 


Ngosha kwa Daudi Bashite basikia hakohoi...kwa maana hyo unamuone tu Ndalichako wa watu..
 
Cheti za zero alicho nacho ni kipi wana jamii? Mimi pia niliruka na zero lakini sikupewa cheti.
 
Kwahiyo unataka kuhalalisha haramu?
Wewe mwenyewe ni haramu in one way or another, swali langu Paul hajasoma? Hakupitia hizo hatua za vyuo? Kama amepita tuhuma zenu juu yake ni elimu au utendaji wake? Ama uthubutu aliofanya kutimiza wajibu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…