cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,670
- 78,173
Naomba nikutaje wewe Nanoli ni nani ki uhalisia namba yako ya simu, familia yako na maisha yako ili wadau waanze kuku chambua. Mimi nakufahamu in and out.Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
No wala am not her followeraliyekwambia wale ni mabody guard wa Makonda ni Mange kasema? hahahahaa
Safi sana.Ila vyeti si anavyo gwajima na nakala katoa..wahi nakala yako upesi nyumbu we.
Mkuu suala la vyeti ni mtambuka. Singo ya WAPO haiwezi kututoa kwenye mstari. Bashite sharti atoe vyeti mubashara bila chenga otherwise movie hii haiwezi kufika mwisho....itakuwa kama Isidingo.Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
Mknd wk! Una matatizo wewe mbweha pori!Ila vyeti si anavyo gwajima na nakala katoa..wahi nakala yako upesi nyumbu we.
Thats True.. kama anataka vyeti aende Kwa Askofu.Ila vyeti si anavyo gwajima na nakala katoa..wahi nakala yako upesi nyumbu we.
Naomba nikutaje wewe Nanoli ni nani ki uhalisia namba yako ya simu, familia yako na maisha yako ili wadau waanze kuku chambua. Mimi nakufahamu in and out.
Proof ipi unayoitaka wewe?km ww haya yanayosemwa khs Balshite ni uongo tuthibitishiwe kwa kuweka vyeti vyake hadharani hapo utakuwa umemsaidia maana hana amani na furaha ksb anatamani sana awe na vyeti....pia ujue kabisa hakuna anayemuonea huyo boss wako wivu watu tunaishi zetu mjini kwa akili zetu,kazi zetu &vyeti vyeti so labda ww ndo mvivuMnaandika hata proof ya tone la maji juu ya mnayomsingizia kwa sababu ya wivu na uvivu wenu hamna, bila kusahau madawa.
Endeleeni mkichoka jipigeni vibao vya uso.
Makonda oyeeeeeeee