Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Ndugu yangu jibu hoja za watu wengine na siyo kutukana. Gwajima si lolote, angekuwa mkweli angethibitisha kwa kuvionesha vyeti badala ya kubwatuka kanisani kwake badala ya kuhubiri. Nani ambaye Mungu atamtizama kwa jicho la hasira? Yule anayetumia mimbari takatifu kuhubiri chuki za kisiasa? Au Yule ambaye anahangaika kuwaokoa watu na matumizi ya Mihadarati ? Ogopa Mungu usimtaje bure bure.Mungu SIYO Shemeji yako. Kama unaamini kuwa Mungu ni Mkuu, acha kuleta utani juu ya jina hili takatifu.Nyie ndio wale mlotumwa kwenda Koromoje?
Halafu unajua watu wastaarabu wakoje? kama yeye haonyeshi na wengine wanafungwa mika 28 kwa kosa kama la Bashite wengine walikuwa wamebakiza mwaka wastaafu mafao yao yote wanakosa ila kwa sababu ya double standards blood fool wewe huyaoni yote hayo? Halafu mnamalizia kwa kusema msema kweli mpenzi wa Mungu! and God is watching you in 3D.
Sijui Gwajima anataka kutufahamisha nini anaposema division zero. Namfahamu Profesa mmoja wa Kenya ambaye alifeli form iv alipata hiyo zero na hata A level hakusoma lakini hivi sasa ni Profesa na kuna Mtanzania mwenzetu ni Profesa USA aliondoka hapa TZ miaka ya 1980 alifanya kazi THB, akiwa na cheti chake ya kumaliza tu form iv leo ni Profesa tena anafundisha vyuo vya USA. Hizo division 1,2,3, 4, na Zero ni namba tu kama umri miaka 50, 60 n.k.adai Ana ushahidi Daudi bashite aka ..RC alipiga zero.
movie inaenda patamu
sawa ndugu.......samahani sanaHeshima haiuzwi dukani,unayemuita dogo huenda akawa sawa na Baba yako,kua muangalifu sana.
Hata mi nimeskia hivo, na aliua piaAlibaka
Leteni ushaidi kuhusiana na tuhuma za namna hizo lazima zitakuwa na ushaidi. Kama hakuna acheni kumchafua mtu.Hata mi nimeskia hivo, na aliua pia
Wakuletee binti aliyebakwa?Leteni ushaidi kuhusiana na tuhuma za namna hizo lazima zitakuwa na ushaidi. Kama hakuna acheni kumchafua mtu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Leteni ushaidi kuhusiana na tuhuma za namna hizo lazima zitakuwa na ushaidi. Kama hakuna acheni kumchafua mtu.
Duh!Hata mi nimeskia hivo, na aliua pia
Hahahahaha kazi kweli kweliWakuletee binti aliyebakwa?