Uuziwe upewe bure ama uibe vyeti ni forgery na hukumu yake sio chini ya miaka saba mpk 15. Kwanini isifunguliwe kesi dhidi yake? Wanasheria wa upinzani wako wapi? Wamekuwa watetezi wetu kwa muda mrefu hili vipi? Je akikataa kuonyesha vyeti kama anabyotakiwa au rais asipomuwajibisha kwa sab ya kukosa ushahidi ina maana ataendelea kuongoza na tuhuma isiyosafishwa?hajaibiwa alimuuzia
hahahaha wewe unajitekenya na kujichekesha mwenyewe............. si alikuwa anajifanya mjivuni kila kitu klauds kikikiki kwakweli shule ni muhimu sana na pia kuishi na wanadamu wenzako kwa amani ni vyema sasa kwenda kujiliza huko makanisani ni ili ahurumiwe ama niniNi kweli fungueni kesi basi aje atoe ushahidi kwa amri ya mahakama.
Aonyeshe wapi? Mtandaoni?aonyeshe anacho cha christian ambacho ni batili
Uuziwe upewe bure ama uibe vyeti ni forgery na hukumu yake sio chini ya miaka saba mpk 15. Kwanini isifunguliwe kesi dhidi yake? Wanasheria wa upinzani wako wapi? Wamekuwa watetezi wetu kwa muda mrefu hili vipi? Je akikataa kuonyesha vyeti kama anabyotakiwa au rais asipomuwajibisha kwa sab ya kukosa ushahidi ina maana ataendelea kuongoza na tuhuma isiyosafishwa?
kwani matangazo ya unga alitangazia wapi ? kwa mfano kwa ukilaza wake na ziro yake aliona clauds ndo sehemu sahihi ya kuropokaAonyeshe wapi? Mtandaoni?
Mbona hujibu hoja yangu?hahahaha wewe unajitekenya na kujichekesha mwenyewe............. si alikuwa anajifanya mjivuni kila kitu klauds kikikiki kwakweli shule ni muhimu sana na pia kuishi na wanadamu wenzako kwa amani ni vyema sasa kwenda kujiliza huko makanisani ni ili ahurumiwe ama nini
Mtandaoni ni mahakamani?hahahaha aje hapa kesi ipo tayari kwani kesi kitu gani wewe unajibaraguza hapa ilhali wajua kabisa kafoji cheti ama ndo kaenda kukifohji lakini jinsi watz wanahasira na matendo yake ya kujifanya yeye ni mungu watafukunyua apaka uchagoni mwa kitanda watalea na kunguni wa kitanda chake
jibu swali wauza ngada aliwaropokeaupande upi? wacha kurukaruka kama makonda kwa mashehe na makuhaniMtandaoni ni mahakamani?
Kwahiyo apeleke vyeti clouds? Ili nani ahakiki pale clouds?kwani matangazo ya unga alitangazia wapi ? kwa mfano kwa ukilaza wake na ziro yake aliona clauds ndo sehemu sahihi ya kuropoka
Huyo hatarudi tena.nipo naye mkuu nataka arudi nyumbani
basi sawa tuHuyo hatarudi tena.
watakuwa wanatafuta ushahidiUuziwe upewe bure ama uibe vyeti ni forgery na hukumu yake sio chini ya miaka saba mpk 15. Kwanini isifunguliwe kesi dhidi yake? Wanasheria wa upinzani wako wapi? Wamekuwa watetezi wetu kwa muda mrefu hili vipi? Je akikataa kuonyesha vyeti kama anabyotakiwa au rais asipomuwajibisha kwa sab ya kukosa ushahidi ina maana ataendelea kuongoza na tuhuma isiyosafishwa?
Vizuri ngoja tusubiri binafsi ningefurahi kama angefikishwa mahakamani sheria ifuate mkondo wake akikutwa na hatia afungwe iwe fundisho kwake na wengine. Nashangaa kuona siku zote hizi wanasheria watetezi wa umma kama tundu lissu kibatala na wengine hawajaliweka suala hili kisheria.watakuwa wanatafuta ushahidi
Wanamtege mkuuVizuri ngoja tusubiri binafsi ningefurahi kama angefikishwa mahakamani sheria ifuate mkondo wake akikutwa na hatia afungwe iwe fundisho kwake na wengine. Nashangaa kuona siku zote hizi wanasheria watetezi wa umma kama tundu lissu kibatala na wengine hawajaliweka suala hili kisheria.
How?Wanamtege mkuu
usinichocheeHow?
Kwanza nikupe pole kwa kutokuwa na uwezo wa kung'amua mambo ikiwa ni pamoja na kutojua shughuli za mamlaka husika. Hivi, kati ya Paul Makonda na Gwajima ( hapa nashindwa kumuita MCHUNGAJI maana nimeshamuona kama ni wale wchungaji wajanjawajanja) ni nani mwenye mamlaka makubwa kuliko mwenzie??Aoneshe kwani vyake au vya bashite??
Pia Umejaribu kumtetea Bashite lakini bado uteteze auna Tija
Makonda kama anajiamini Na anauwakika na elimu yake kwann Asiweke uwalali wa elimu yake
Kwaiyo kisa makonda kateuliwa. Na raisi ndio hatuna mamlaka ya kumjaji??
Au kuteuliwa na raisi nisababu ya kuuongopea umma??
Ninavyo mjua makonda nimpenda sifa sanaa angekua kweli Anaelimu yahaja lazima angelizima iliswala la vyeti kwambwembwe zoote cloud's lakini huwezo huo hanaa
Hatukotayari kuongozwa nakiongizi asie muadilifu
Wewe dada Eliza wacha kupiga mayowe, mwambie huyo hawara yako aweke mezani vyeti vyenye jina la Daudi Alubati Bashite mengine yote kutupotezea muda tu!! Wewe nilishakwambia hunaga akili wewe!!Naona mmeanza kugeukana. Wenzako wanasema Makonda kaiba vyeti, wewe unasema kanunua! Lazima mvurugane mwaka huu