Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Jana upuuzi huu
leo umerudia ku copy !!
Imesha buma
mwambieni kwanza Mbowe aonyeshe vyeti walau vya lasaba tu

Kwani umeambiwa Mbowe anatumia.jina la kununua?? Mmejiliza kanisani kisa mnaogopa kwenda jela unasingizia Mke wangu siyo RAIA.Mbona mnawapeleka wenzenu masaa 48 zamu yenu kuona jela.

Jela miaka saba inawasubiri hata mile vipi. Halafu ukapime hizo Sugu kama ziko zote.
 

Inatofauti gani na kumtaja mtu mbele ya adhara kwamaba ni fisadi papa na sasa ni rais wa chama?.
 
(Najudaga)
Nenda shule kwanza

Kamwambie Bashite aliyenunua vyetu.Wakati wenzie wanasoma.yeye alikuwa busy anavuta bangi Mwanza zero kabang ananunua vyeti mwaka huu atalia sana
 
Mnajua kunyoosha midomo juu wakati vyeti hamna, mfyuuuu....
Binamu tuliambiwa leo Gwajima atashusha wazee kutoka kijijini kwa Makonda,wamefika?
Hii kesi ya kumtuhumu mtu halafu unamuambia mtuhumiwa huyo huyo akupe ushahidi nimeisikia Tanzania tu
 
Hivi ulienda shule kusomea ujinga!!
hujui kituo kikubwa wala mkato vinawekwa wapi!!
Rudi shule
 
Ndo maana nasema Tanzania hatuna opposition parties....vyama gani vya kutetea na kupokea wauza na watunia mihadarati????

Vyama gani vya kusubiri matukio na kujishikiza hapo??? Hii inaonesha havina mikakati yaani mpango kazi. Vinacheza ngoma ya CCM. Aibu sana
 
Kamwambie Bashite aliyenunua vyetu.Wakati wenzie wanasoma.yeye alikuwa busy anavuta bangi Mwanza zero kabang ananunua vyeti mwaka huu atalia sana
(Vyetu)
Hii ndio hasara ya kuongozwa na mwenyekiti ZERO
Na vibaraka wote ni ZERO
 
Hivi ulienda shule kusomea ujinga!!
hujui kituo kikubwa wala mkato vinawekwa wapi!!
Rudi shule

Rafiki mie shule ninayo,wewe uliyenunua vyeti ndiyo wa kuuliza.

Mwaka huu ta unune miaka saba Keki utachonga viazi.
 
Kwahiyo kwanini awaongoze wenye akili yeye akiwa ZERO

Kwa sababu ata chadema waliwafukuza wasomi kama akina zitto kabwe na kumwacha mbulula kama mbowe na anakiongoza chama.Tanzania haitaji wasomi kwa sasa bali watendaji mkuu.
 
(Vyetu)
Hii ndio hasara ya kuongozwa na mwenyekiti ZERO
Na vibaraka wote ni ZERO

Hahahaha hasara ya kuwa na Mkuu wa mkoa aliyefeli darasa la pili,darasa la NNE,darasa la saba na form four kazungusha,akaamua kuforge kisa anataka kwenda chuo.

Hivyo usishangae issue ni Mkuu wa Mkoa kupata Zero na Bilicanas kama kumi hivi. Na juzi Mzumbe kaenda Bilicanas. Mwambie jela inamsubiri.
 
Kwa sababu ata chadema waliwafukuza wasomi kama akina zitto kabwe na kumwacha mbulula kama mbowe na anakiongoza chama.Tanzania haitaji wasomi kwa sasa bali watendaji mkuu.

Tye Tye Tye kumbe Mbowe ZERO
 
Jana upuuzi huu
leo umerudia ku copy !!
Imesha buma
mwambieni kwanza Mbowe aonyeshe vyeti walau vya lasaba tu
We umezaliwa mwaka gan? Mbowe amesoma, na kama hana elimu kubwa hasingequalify kwenye tume ya uchaguzi kugombea urais mwaka 2005....
 

Dunia nzima
Chadema pekee wanaongozwa na ZERO
 
Mbowe hama.Zero.pole.Leta vyeti acha blah blah. Daudi Bashite Fa Fa Fa mpaka dini Fa halafu unajiita mlokole.

Akapime Sugu hizo.
Ficha upumbavu wako
Jifunze kutumia alama katika mashairi yako
 

Chenye mikakati ni hicho CCM miaka 55 Tanzania imerudi nyuma miaka 80.Mnajiita Hapa kazi tu,wakati kazi kuropoka kwenye kila mkutano sijaona chochote cha maana mpaka sasa.Miradi yote ya JK.Mmeanzisha miradi ya fine za barabarani kisa hakuna kodi.

Mtahangaika sana safari PhD mnaghushi,vyeti navyo vya kughushi hakuna hata msafi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…