Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Nenda Kanisa la ufunuo kesho utakutana na walimu na aliosoma nao wakitoa ushuuda. kazi ya Mch. Gwajima
 
Hayo ni maswali ya msingi sana mkuu! Ila kwakua ukawa agenda yao ni mkuu wa mkoa hawatakupa wajibu stahiki! Makasuku lazima yarudie nyimbo za anayewafuga!
 
mbona kama mchiriku huo,hueleweki
 
Nakuja nakimbia bila break nkijua nakuta vyeti vya bashite wa koromije. Daah
 
Gwajima ameshindwa kutunza bibilia anatunza vyeti vya makonda......?
 
Ni haki ya kiraia, kiongozi anapotuhumiwa lazima ajitokeze kukanusha au kujiuzulu...ni haki ya kiraia wala siasa....
 
Nashangaa kuwa mpaka sasa hata idara ya Uhamiaji haijaanzisha uchunguzi. Kupata hati ya kusafiria kwa njia ya udanganyifu ni kosa zito sana ambalo lina wajumuisha wadhamini hata wazazi kama walisaini affidavit kuwa wanakutambua kama mtoto wao wakati umetoa habari za uongo.
Kesi hii itakuwa ya aina yake toka kuundwa kwa Tanzania, kwani itakuwa aliyepata kuwa mkuu wa wilaya na mkoa pamoja na wazazi wake kusimamishwa mahakamani kwa fraud na ikiwezekana wote kufungwa.
Nadhani serikali ya Magufuli iko kimya inajaribu kutafakari jinsi sakata hili la huyu kijana kama sheria ikifuata mkondo jinsi litakavyo kuwa kashfa. Na watu wamekomaa.
 
Hicho si kigezo cha kukwepa majanga juu ya vyeti vya boss wako Daud Albert, kila mmoja anajua Gwajma hawezi kuiba wala kuvunja, mkijiloga mtengeneze kesi kama hiyo mtakuwa mnazidi kujidhalilisha na kuwafanya watanzania wajue kuwa Udikteta umeshika kasi kuficha Aibu.
 
Ficha ujinga basi wewe, ungekuwa umesoma naye ungejitokeza? Ili familia izingirwe na polisi?
 
Sio rahis mtu kutoka na kusema nilisoma na Daudi Bashite, ni nani asieogopa serikali hii ya kukamia. Kuna yule mzee alkuja kutoa ushuhuda nadhani kila mtu anajua yaliomkuta aliemleta.
 
Mnawataka wanafunzi waje hadharani kuthibitisha ili CCM muwaue???
 
lete kifungu cha sharia kinachosema ni kosa
Unataka kifungu looh ila wana CCM akili fyatu kabisa. Madaktari na walimu wenye vyeti feki wameachishwa kazi sana na ni watumishi wa umma mbona Kairuki na Magufuli walikomalia sana suala la vyeti feki sasa kwa Makonda yaan Daudi A. Bashite wananywea??? Hiki kikombe hawatakiepuka kabisaaaa
 
Nchi imeharibika hii jamani wangekuwa wengine wamegushi vyeti saivi wangekuwa wananyea ndebe
Duuu jamaa anabahati huyu mpaka Leo hakuna MTU anaye fulukuta kwake duu itabida ,2020 awe raisi maana nguvu Yake sio ya kawaida
 
Gwajima ameshindwa kutunza bibilia anatunza vyeti vya makonda......?
Ujue chanzo cha yote ni Daud kutaka kumbambikia kesi Gwajma kwa sababu ya wivu na chuki, ndipo Gwajma na yy akaamua kujihami kwa kusaka data za Daudi Albert kila kona, cha ajabu wapo watu wanamlaumu Gwajma kwa kujihami na wengine mnataka mjue kaficha wapi vyeti vya makonda, kwa taarifa zenu Gwajma katoa kopi ya vyeti vyote vya makonda ni copy mamia kwa maelifu ni copy nyingi kupindukia zitasambazwa mji mzima kila mwana Dsm atapata copy yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…