Mchungaji asimamishwa kwa uzinzi

dah kazi kweli kweli!! vp walimpa nafasi ya kutubu kabla hajatimuliwa?
 
ngoja nimsaidie!HAIRUHUSIWI...!karibu makange MAFIA
Hairuhusiwi kikatiba? Hivi kwa mfano festiledi akiresti in piis (Mungu apitishe mbali) na JK akaamua asioe tena, ndo uraisi utakufa? ndo hataruhusiwa kugombea upresidaa uchaguzi ujao? Kwa sababu tu hana mke?
 
Kwa kweli lazima ASSUMPTIONS ziwepo. adhawaiz tutarani kreze! too much kontradikshen!
HEHEHE!it goes this way...!ASSUME KWAMBA:
1-
2-
3-mchungaji alioa(kama hajaoa BASI NI MJANE)
4-mchungaji hawezi kutongoza
5-mchungaji akitongoza tunasema MUNGU AMEMFUNULIA

moja na mbili nimeviacha BLANK!..moja ni kwa charity,na mbili ni kwa x-pin kuweka assumption zao.

KAIZER hataruhusiwa kuweka assumption kwasababu anaonekana yupo biased(NAASUME ni mkatoliki huyu:D:D)
 
Shemeji,naomba ujue jambo moja, as far as I know hakuna hata kanisa moja linalofuata maandiko yote jinsi yalivyo katika mabible.na hii ndiyo sababu ya utitiri wa makanisa.Biblia inachanganyan sana mpka tu Uwe kweli umejaa Roho wa Bwana.Andiko moja tu linaweza kutafsriwa tofauti na watu 2.
Na kuhusu hilo kanisa kumruhusu huyo mchungaji bila kuwa na mke mimi na wewe hatuwezi jua sababu stori haipo kamili.Inawezekana huyo mchungaji ni mjane.

hilonimeliona shemeji, well noted

Roho wa bwana tunampata wapi?

hapo stori ipo kamili shmeji kwa vile habari kubwa ilikuwan "mchungaji asimamiswa kwa uzinzi", sasa in a normative way tunategemea mchungaji asizini na ndio maana nikasema makanisa hayo ya kilokole to be precise wachungaji wao wanaoa.... kwa hiyo nashangaa (deductivism) imekuwaje tena awe cmhungaji bila kuoa....assumption ya kwamba anaweza kuwa alikuwa mjane inaweza kuwa sawa lakini pia tungemtegemea awe ameshajijengea high standards za kimaadili. hata hivyo, kwa stori hiyo, sidhani kama alikuwa mjane....
 
Hairuhusiwi kikatiba? Hivi kwa mfano festiledi akiresti in piis (Mungu apitishe mbali) na JK akaamua asioe tena, ndo uraisi utakufa? ndo hataruhusiwa kugombea upresidaa uchaguzi ujao? Kwa sababu tu hana mke?
HAIRUHUSIWI!huwa tuna assume FESTILEDI WILL NEVER DIE!..and it works,lol!:D:D
 
HEHEHE!it goes this way...!ASSUME KWAMBA:
1-
2-
3-mchungaji alioa(kama hajaoa BASI NI MJANE)
4-mchungaji hawezi kutongoza
5-mchungaji akitongoza tunasema MUNGU AMEMFUNULIA

moja na mbili nimeviacha BLANK!..moja ni kwa charity,na mbili ni kwa x-pin kuweka assumption zao.

KAIZER hataruhusiwa kuweka assumption kwasababu anaonekana yupo biased(NAASUME ni mkatoliki huyu:D:D)

hapo uko correct. ila assumption yako iko flawed
 
hilonimeliona shemeji, well noted

Roho wa bwana tunampata wapi?

hapo stori ipo kamili shmeji kwa vile habari kubwa ilikuwan "mchungaji asimamiswa kwa uzinzi", sasa in a normative way tunategemea mchungaji asizini na ndio maana nikasema makanisa hayo ya kilokole to be precise wachungaji wao wanaoa.... kwa hiyo nashangaa (deductivism) imekuwaje tena awe cmhungaji bila kuoa....assumption ya kwamba anaweza kuwa alikuwa mjane inaweza kuwa sawa lakini pia tungemtegemea awe ameshajijengea high standards za kimaadili. hata hivyo, kwa stori hiyo, sidhani kama alikuwa mjane....
suala la kuzini shemeji halina cha mwenye mke,mjane,mseja au bachelor.Haya yote ni maadili na mara nyingi ni tabia ya mtu binafsi ambayo ikujulikana matokeo yake ni kama kanisa lilivyochukua hatua ya kumfukuza.
 
lakini when it comes to ''MAISHA YA KIROHO''!....do we still base on assumptions?:D:D
Yani huko ndio assumption zimezidi kuliko mahali kwingine sababu kuishi kwa imani ni kama assumptions.mifano hai;
tuna-assume kuna moto mkali sana wa milele na watenda dhambi watachomwa.
tuna-assume kuna mwisho wa dunia na tarumbeta italia
.....the list goes on.......
 
suala la kuzini shemeji halina cha mwenye mke,mjane,mseja au bachelor.Haya yote ni maadili na mara nyingi ni tabia ya mtu binafsi ambayo ikujulikana matokeo yake ni kama kanisa lilivyochukua hatua ya kumfukuza.
Hapana! Suala la kuzini lina mke na mme tu Basi! Kinyume cha hapo ni UASHERATI. Kuna tofauti kubwa sana kati ya UZINZI na UASHERATI. Kama mchungaji alikutwa akizini, ina maana mchungaji ana mke. Geoff, Xpin na Kaizer wanazini, Fidel na GP wanafanya uasherati!

sasa asipocritisaizi post yangu kaizer,NANI MWINGINE!
NEXT LEVEL!
 
Yani huko ndio assumption zimezidi kuliko mahali kwingine sababu kuishi kwa imani ni kama assumptions.mifano hai;
tuna-assume kuna moto mkali sana wa milele na watenda dhambi watachomwa.
tuna-assume kuna mwisho wa dunia na tarumbeta italia
.....the list goes on.......
lakini kwenye vilivyoandikwa kwenye biblia HATUASSUME!kuna findings ambazo ni JUSTIFIABLE KABSAAAAAAAAAAAA!

when it comes to IMANI...!MIMI NINASADIKI(i believe-kama ki-blurei ni impontant sana)!
 
Hapana! Suala la kuzini lina mke na mme tu Basi! Kinyume cha hapo ni UASHERATI. Kuna tofauti kubwa sana kati ya UZINZI na UASHERATI. Kama mchungaji alikutwa akizini, ina maana mchungaji ana mke. Geoff, Xpin na Kaizer wanazini, Fidel na GP wanafanya uasherati!

!
umekula senksi hapoooooooooooooooooo!
KWENYE AMRI KUMI ZA MUNGU HAKUNA UASHERATI!hapa pana mjadala mpana sana
 
Kama wamebariki ushoga miongoni mwao, uzinzi si ishu kwao. Watazidi kuumbuka daily. Man made religion SENZ
 
umekula senksi hapoooooooooooooooooo!
KWENYE AMRI KUMI ZA MUNGU HAKUNA UASHERATI!hapa pana mjadala mpana sana
Mjadala unaisha kwa assumptions!
Bila assumptions tutakuwa makreze.
Hata kwenye Imani tunaassume
Let UZINZI = UASHERATI
Amri ya sita ina sema USIZINI
But uzinzi = uasherati
Therefore Amri ya sita inasema usifanye uasherati............Case closed:D:D
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom