Wewe ndio ambao mnatufanya sasa tunapitia wakati mgumu! Kazi ya mungu kwa lusekelo? Acheni utani na mungu! Bora kingunge aligundua mapema akaamua kuwa mpagani!!Hakuna kazi ngumu kama kazi ya kumtumikia Mwenyezi Mungu... Majaribu na mitiahani ni mingi mmno... Ni rahisi zaidi kufanya kazi Mochwari kuliko kufanya kazi ya madhabahuni asikwambie mtu...
Hata pale alipomtukana jirani alikuwa anafanya kazi ya Mungu na ni kutokana na Ugumu wa kazi hiyo tena na wakati wa mvua na asubuhi sana Mtumishi wa Mungu aliona bora ashtue kidogo na Konyagi ndogo ili ubongo ukae sawa.Hakuna kazi ngumu kama kazi ya kumtumikia Mwenyezi Mungu... Majaribu na mitiahani ni mingi mmno... Ni rahisi zaidi kufanya kazi Mochwari kuliko kufanya kazi ya madhabahuni asikwambie mtu...
Kakobe hajakmbia nchi ww! Yule jamaa yupo kimataifa! Yupo kama Askofu wa kanisa lake linaloitwa Full Gospel Bible Fellowship ambalo alianza mwaka 1989 hapo Dsm na baadae likaenea mikoani, wilayan mpk kwnye baadhi ya vijiji.waumini huwa wanafungwa akili zao sijui, hawawezi kuona tatizo hata kidogo, mfano mzuri Kakobe baada ya mambo yake kujulikana akakimbia nchi, ila waumini wake wakawa bado wanaenda kanisani wanahubiriwa na screen, hadi wanatilisha huruma
waumini huwa wanafungwa akili zao sijui, hawawezi kuona tatizo hata kidogo, mfano mzuri Kakobe baada ya mambo yake kujulikana akakimbia nchi, ila waumini wake wakawa bado wanaenda kanisani wanahubiriwa na screen, hadi wanatilisha huruma
Hakika tunatofautiana kabisa katika Kiimani (kiroho).
Mzee wa Upako still a man not GOD. Na hawa wanaomshutumu Sio Mungu ni watu tu wa kawaida chochote kinawezekana kilitokea.
Angalau tunaanza kupata upande wa pili. Upande ule walisema na wakamaliza na sasa Mzee Mch. Ametoa mwanga kuhusu yeye (this is natural justice).
Wengi wetu tulitaka aseme, aeleze nini kilitokea (Tutabaki 🙁🙁😵🙁).
Watu kama Mzee wa Upako wanaamini Vita(chuki,majungu wivu, nk) ni vya kiroho (si damu na nyama" is not physical) bali katika uweza na nguvu za Mungu.
Kanuni nyingine ya Kina Mzee wa Upako ni kwamba " Kukaa Kimya" Kama Bwana Yesu alipokuwa anashtakiwa alikaa kimya na walipo mlazimisha alisema tu "WEWE WASEMA". Ukiwa katika tuhuma kama hizo ukisema sema unajitega mwenyewe, unajifunga kamba mwenyewe, unajenega na maneno yako. Vile vile ni tuhuma za kisheria either unatoa ushaidi au unapotesa ushaidi.
Piga Kazi. Tuwache wanao longa longa watachoka tu.
( Duuu! sasa nimechokosa tena watu huma JF ngoja wanifumukie).
But thsi is the fact!
Kukusaidia tu hawa majamaa ni wachawi kupindukia..... Huenda waumini ni misukule hawajielewiUmbumbumbu ni shida kubwa! Hivi watu wameazima au wameazimwa akili? Mtu mmeona maovu yake bado mnamwita mtumishi wa Mungu na kusali na kusikiliza upuuzi wake. Actually serikali imlipishe kodi huyu bwana maana yupo kibiashara zaidi!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Na kumpa pesa ili akanywe tena..
Heri ujinga kuliko upumbavu wa hawa watu.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji126]Hatari sana.. sasa kama Mwingira anashika shika hadi chura za wanawake wengi kanisani kwake na kusema anatoa pepo.. akiona mkeo au demu anachura amenona, anamtafuta, anatQmB@ sana tu alafu anasema pepo limetoka.. mmaninaaaaa walaah..!! washenzi hawa.. eti wanajiita watu wa Mungu.. mafirauni sana haya
Yaani manamake mimi huwa nashindwa kuyatafakari! Yaani yanaandamana kwenda kumtuza mtu aliyejionesha wazi kuwa kayageuza misukule? Eti mtumishi wa Mungu anakuwa na maadui?Aisee unapiga ulabu jmos,j2 unaibuka kanisani na kutunzwa juu
Teh teh teh.Muhudumu niletee upako 1 nipate akili ya kucomment
Kwa hiyo kunywa na kulewa chakari kupinduikia kipimo cha alcohol 310% ni kazi ngumu ya kumtumikia bwana na asikwambie mtu?Hakuna kazi ngumu kama kazi ya kumtumikia Mwenyezi Mungu... Majaribu na mitiahani ni mingi mmno... Ni rahisi zaidi kufanya kazi Mochwari kuliko kufanya kazi ya madhabahuni asikwambie mtu...
Bila ufafanizi yakinifu, inakuwaje ccm wakati mada ni ulevi na uzinzi Chagga?ccm kutoka madarakani kwa demokrasia ni ngumu
Ok ok ok! 'get an idea!Waumini wa Lusekelo ndio Sample ya Watanzania.
Hivyo kwa hilo nakubaliana na wewe.
Ivuga wamekushika pabayanini. Inamaana comments zote hizo hauogopi "kukomenti" hivi!Kama unashangaa waumini wa Lusekelo na wao wanakushangaa pia kwa nini unaabudu huko unakoabudu.
Cha muhimu jali maisha yako basi.