Hakika tunatofautiana kabisa katika Kiimani (kiroho).
Mzee wa Upako still a man not GOD. Na hawa wanaomshutumu Sio Mungu ni watu tu wa kawaida chochote kinawezekana kilitokea.
Angalau tunaanza kupata upande wa pili. Upande ule walisema na wakamaliza na sasa Mzee Mch. Ametoa mwanga kuhusu yeye (this is natural justice).
Wengi wetu tulitaka aseme, aeleze nini kilitokea (Tutabaki 🙁🙁😵🙁).
Watu kama Mzee wa Upako wanaamini Vita(chuki,majungu wivu, nk) ni vya kiroho (si damu na nyama" is not physical) bali katika uweza na nguvu za Mungu.
Kanuni nyingine ya Kina Mzee wa Upako ni kwamba " Kukaa Kimya" Kama Bwana Yesu alipokuwa anashtakiwa alikaa kimya na walipo mlazimisha alisema tu "WEWE WASEMA". Ukiwa katika tuhuma kama hizo ukisema sema unajitega mwenyewe, unajifunga kamba mwenyewe, unajenega na maneno yako. Vile vile ni tuhuma za kisheria either unatoa ushaidi au unapotesa ushaidi.
Piga Kazi. Tuwache wanao longa longa watachoka tu.
( Duuu! sasa nimechokosa tena watu huma JF ngoja wanifumukie).
But thsi is the fact!