Mchungaji Antony Lusekelo 'Mzee wa Upako' afunguka baada ya kashfa

Mchungaji Antony Lusekelo 'Mzee wa Upako' afunguka baada ya kashfa

Nyoka mwenye makengeza!, nyoka msaka fedha! Na wafuasi wake wana makengeza!...
 

Attachments

  • images-59.jpeg
    images-59.jpeg
    7 KB · Views: 56
Ananikumbusha kipindi cha kutangaza nia..Baada ya lowassa kukatwa kuna watu walisubir aseme au atoe tamko...ninakiu ya kusikia tamko la mzee wa upako...
 
Hapo kwenye alisema huku akishangiliwa na (waumini) wake mleta mada badilisha pasomeke alisema hayo huku akishangiliwa na mazuzu/misukule yake
 
Hii imani waumini wake wana imani ya juu sana,na inapotekea kugundua kuwa anachokiamini si sahihi basi kiwango cha imani pia hushuka chini kabisa. Na ndiyo hufikia kiwango cha kutoamini dini na wengine hadi kutoamini mungu.
 
Kwahio Yale Maneno ya "mshenzi" na "nitakuua" hayatoki kwenye kinywa chake????
 
waumini huwa wanafungwa akili zao sijui, hawawezi kuona tatizo hata kidogo, mfano mzuri Kakobe baada ya mambo yake kujulikana akakimbia nchi, ila waumini wake wakawa bado wanaenda kanisani wanahubiriwa na screen, hadi wanatilisha huruma
 
Back
Top Bottom