Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Ukiona mwanamke anashare kitu kana hiki jua kashaliwa... Hapa anataka tu mitazamo yenu... Je itasapoti aliwe ili nafsi yake isimsute kwamba alikuwa sahihi kuliwa au mtakuwa negative....ili asigawe tena K.....

Ukweli ni .... KASHALIWA
 
mpe tu kwani anaibeba...at the end una mtaji wako sasa tatizo nini hapo!!
 
Huyo dada ana ndoa, soma sheria ya ndoa, ukiishi na mwanamke kwa zaidi ya muda fulani, sijui ni miezi 3 au sita, huyo ni mkeo. Kwa maelezo ya dada, yuko kwenye ndoa, tena inayotambuliwa na sheria ya ndoa, kinachokosekana ni cheti cha ndoa.
Cheti cha ndoa ni uthibitisho kuwa hawa wawili wameoana, lakini mazingira ya maisha ya huyu dada ni uthibitisho wa ndoa yake pia.
Haya mambo ya vyeti yamekuja baada ya hawa watu weupe kuja huku kwetu, before then tulikuwa na ndoa with no papers.
 
Oya WANAUME tutafute pesa aisseh.
Cheki kisa mil 2 mke analiwa na pastor tena inawezekana pasta akapiga kavu bila hata ndom..
Mme angekuwa na hio mil 2 ya mtaji yote haya yasingetokea
Hata ukiwa na hela, mkeo kama ana akili ya kuliwa, kama humridhishi, ataliwa tu
 
Mpe tu ili mafundisho yakuingie uzuri kwa roho na papuchini....
 
Pole sana...

Yote ni mitihani hiyo... scratch his back nae aku scratch your back...


Cc: mahondaw
 
Aisee wewe utakuwa mama huruma, ambao sio watumishi wa Mungu wajipigia tu papuchi. Uko mkoa gani dada tuangalie tunafanyaje.
 
Huyo mwanaume unaishi nae ni mumeo halali wacha ujinga.....umezungumza nae kuhusu uhitaji wako wa mkopo??au unafanya kwa kivuli hataujafunga ndoa....umesahau kuwa ndio baba wa watoto wako na manaishi nae....fanya huo ujinga uone aibu iliyo mbele yako.......nakushauri wacha kabisa....zungumza na mmeo....inawezekana...
 
Njoo kwangu nitakupa 1.5mil buree kabisa
 
Acha uchoyo...mpe mwenzio!
 
Umenena vizuri sana!
 
We mpe tu kwanza Wachungaji waonaekana dhaifu atakupiga tako 3 anakumwagia mbegu ila mmeo akijua ndoa hauna
 
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Yaani sababu ni hiyo TU? Angekuwa sio mtumishi wa Mungu ungeigawa?

Mimi nina milioni 1, ngoja nimtafute mtu mwenye milioni moja au wawili wenye laki tano tano tupige mzigo upate mtaji.
 
Milioni mbili ndefu sana unapata Kiwanja cha kujenga.. Kama utakula kila siku elfu 10,000, Basi utakula siku mia mbili na Bwanaakooo.

Nakushauli mpee tena msususie mpindulie nina uwakika Pasta atakuja kukupa na funguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…