Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

We mwenyewe unajua maisha bila pesa hayaendi ndio maana hata kanisani wanataka sadaka.
Wala hatukatai, mtambue tu kwamba hakuna pesa ya bure. You have to "work" to earn it!
 
Black mail him akupe zaidi ya hizo.Chat naye hifadhi mesej then mtishe kumuumbua kanisani atakupa hela hata zaidi ya hizo.
 
Mchungaji siyo mjinga huyo. Kwanza unaanza kuvua nguo mnakula mzigo ndo labda akupe na hakuna guarantee kwamba atakupa kiasi gani siku ya kwanza. Kwa kuanzia kwa siku ya kwanza, maximum tuseme atakupa laki moja, na hapo ameshakupiga show kali ambayo hujawahi kupata kwa mwanaume wako huyo, mpaka hapo wewe mwenyewe unakuwa umeshachanganyikiwa na penzi jipya. Piga hesabu, Mil. 2 mpaka akamilishe kukupatia atakuwa amekugegeda mara ngapi? Tafakari, chukua hatua.
 
hata mstaafu alishasema ukitaka kula sharti uliwe kidogo,,,sasa wewe unataka kula tu pekeyake? Haiwezekani!!!
''.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu'' umeonyesha kuwa ndo walewale bodaboda wanajimegeaga asee!
 
unaumalaya ndani yako kama ni mtaji akupe mzazi mwenzio
 
Ebu acha hiyo dhambi ya kutembea na Mchungaji ikupite,tafuta mtaji sehemu nyingine.
 
Sawa nimekuelewa ila mm nilimwomba anikopeshe tu kama anayo nikaona amekubali sasa ndio yakaanza na mengien
Kumkopesha mtu pesa Tena kiasi hicho kwa kipindi hiki ni kutafuta matatizo na kuanza kununiana tu, maana hata mkikopwa kulipa hua inakua mbinde
 

Umemkataa sababu ni mchungaji, na sio sababu una uhusiano na mtu mwingine. Am sure papuchi utatoa tu au tayari umeshatoa!
 
"ukitaka kula sharti na wewe uliwe" By Jakaya Kikwete
 
Wacha kujidanganya nafsi yako. Huna mume. Eri nina "mume" lakini si wa ndoa. Wa ndoano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…