Mchungaji ‘aliyeji-selfie na Mungu’, amtaka mchungaji Lukau amfufue Nelson Mandela

WOTE WAONGO TU,MAANA HATA YEYE KABLA YA KUSELFIE NA MUNGU WAJE ANGESELFIE NA MALAIKA KWANZA WALIO KARIBU NA HUYO MUNGU ALIYE JISELIFIE NAYE!
 
maxresdefault-2-1024x576.jpg
MCHUNGAJI mmoja nchini Afrika Kusini, Paseka Motsoeneng, maarufu kama Pastor Mboro, ambaye alishawahi kudai kuwa alifika mbinguni na kupiga picha na Mungu (kwa kutumia simu – ‘selfie’) amempa changamoto mchungaji mwenzake raia wa Congo DR, Alph Lukau, anayeishi nchini humo ambaye hivi karibuni alijinasibu kumfufua marehemu.


Pastor-Mboro-1024x768.jpg



Mchungaji Mboro amefika mbele ya Kanisa la Mchungaji Lukau na kumuomba Mungu awasamehe wachungaji wote waongo huku akisema amefika kanisani hapo kwa sababu anaona injili ya Mungu inachezewa huku akimtaka kama kweli ana uwezo wa kufufua basi amfufue Muasisi wa Taifa hilo, Nelson Mandela.


55b7348c88684d51a59f1910f9fc0c4e.png






“Nimefika hapa kujua ukweli, hii miujiza ni uongo na kama si uongo nipe kidhibitisho, wacha tuongee kama watu wa Mungu, hii siyo sahihi, kwa niaba ya wachungaji wote na watu wa Mungu, waongo wote tusamehe,” amesema Pastor Mboro huku akiwa pembeni ya gari lake la kifahari BMW i8.
Yeye mwenyewe muongo ana ita wenzie waongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote hao manabii wa uongo. Ulokole umekuwa chanzo cha vurugu kubwa katika ukristo ni vigumu kujua nani ni nani siku hizi.
umeondoa furaha katika familia kabisa na ndoa nyingi zipo kama hazipo wamebaki walezi wa watoto lakini mapenzi hayapo tena. na wanawake wameongoza kuzivunja na kuondoa upendo bila kujua. wanawaona manabii na wachungaji kama Yesu mume tupa kule mwendo wa wachungaji
 
Toka mchunga kondoo asepe, kondoo wana tanga tanga Kila Kona, Kila mtu anaswaga kondoo apendavyo. Na Kila mswagaji kondoo ananukuu kitabu pendwa cha kondoo na anapata mistari ya kuvutia kondoo Zaid.
 
Back
Top Bottom