Mchungaji ‘aliyeji-selfie na Mungu’, amtaka mchungaji Lukau amfufue Nelson Mandela

Ndo maana waislam ni wakali kwa dini yao ya uongo, hawataki mchezo kabisa! Dini ya wakristo full kuchezewa kama toy tu!

Pastor Mboro????? Upuuzi gani huu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MCHUNGAJI AOMBA MUNGU AMSAMEHE KWA UONGO

Mchungaji Paseka Mboro wa Afrika Kusini aliyewahi kusema kuwa ameshawahi kwenda mbinguni na kupiga picha ya Selfie na Mungu kwa kutumia simu yake, kisha kuziuza kwa waumini wake kanisani, amemuomba Mungu amsamehe kwa uongo wake.

Mchungaji Mboro pia amemuomba Mungu awasamehe wachungaji wote waongo akiwemo Lukau aliyedanganya kumfufua mtu.

Mchungaji huyo amefanya maombi hayo akiwa amepiga magoti pembeni ya gari lake jipya aina ya BMX i8.

Mchungaji huyo wa nchini Afrika kusini, Pastor Mboro ambaye alishawahi kudanganya kuwa alifika mbinguni na kupiga picha aina ya Selfie na Mungu amempa changamoto mchungaji mwenzie raia wa Congo, Alph Lukau ambaye anaishi nchini humo ambaye hivi karibuni alijinasibu kumfufua mtu kwa kumtaka amfufue Nelson Mandela.

Mchungaji Mboro alifika mbele ya kanisa la mchungaji Alph Lukau na kumuomba Mungu awasamehe wachungaji wote waongo huku akisema amefika kanisani hapo kwasababu anaona injili ya Mungu inachezewa.

‘’nimefika hapa kujua ukweli, hii miujiza ni uongo na kama sio uongo nipe kidhibitisho, wacha tuongee kama watu wa Mungu’’ amesema Pastor Mboro

“hii sio sahihi, kwa niaba ya wachungaji wote na watu wa Mungu, na waongo wote tusamehe’’ amesikika akiomba mchungaji huyo huku akiwa pembeni ya gari lake la kifahari BMW i8.

FB_IMG_1551603135266.jpeg

View attachment 1036735

Sent using Jamii Forums mobile app
Watubu tu hakuna jinsi. Maana sasa hata shetani ambaye ni baba wa uongo hawawezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 Mchunga kondoo wa bwana anaitwa MBORO unategemea nini
 
Hizi dini nyingine ni pasua kichwa, muumini unaishi kwa shida, mchungaji anakula bata.
 
MCHUNGAJI AOMBA MUNGU AMSAMEHE KWA UONGO

Mchungaji Paseka Mboro wa Afrika Kusini aliyewahi kusema kuwa ameshawahi kwenda mbinguni na kupiga picha ya Selfie na Mungu kwa kutumia simu yake, kisha kuziuza kwa waumini wake kanisani, amemuomba Mungu amsamehe kwa uongo wake.

Mchungaji Mboro pia amemuomba Mungu awasamehe wachungaji wote waongo akiwemo Lukau aliyedanganya kumfufua mtu.

Mchungaji huyo amefanya maombi hayo akiwa amepiga magoti pembeni ya gari lake jipya aina ya BMX i8.

Mchungaji huyo wa nchini Afrika kusini, Pastor Mboro ambaye alishawahi kudanganya kuwa alifika mbinguni na kupiga picha aina ya Selfie na Mungu amempa changamoto mchungaji mwenzie raia wa Congo, Alph Lukau ambaye anaishi nchini humo ambaye hivi karibuni alijinasibu kumfufua mtu kwa kumtaka amfufue Nelson Mandela.

Mchungaji Mboro alifika mbele ya kanisa la mchungaji Alph Lukau na kumuomba Mungu awasamehe wachungaji wote waongo huku akisema amefika kanisani hapo kwasababu anaona injili ya Mungu inachezewa.

‘’nimefika hapa kujua ukweli, hii miujiza ni uongo na kama sio uongo nipe kidhibitisho, wacha tuongee kama watu wa Mungu’’ amesema Pastor Mboro

“hii sio sahihi, kwa niaba ya wachungaji wote na watu wa Mungu, na waongo wote tusamehe’’ amesikika akiomba mchungaji huyo huku akiwa pembeni ya gari lake la kifahari BMW i8.

View attachment 1036735

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kama alienda KUONESHA gari lake jipya BMX i8. Maana Alph naye ni mtu wa magari
 
Ajabu ni mchungaji kuombea vilema ila mtoto wa dada yake anampleka india kuekwa miguu sawa
 
Back
Top Bottom