Mchungaji afichua jinsi watumishi feki wanavyopata nguvu ya kutenda miujiza na utajiri

Mimi namtetea Yesu wa Nazareth, sina muda wa kumtetea mwanadamu anayenuka dhambi.
Ukisoma Warumi 3:23 inasema, wote mmetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.
Sasa naanzaje kumtetea mtu?
Mkuu wew si huwa unawatetea sana hawa watu .leo imekuaje tena,..naona umefumbuka macho saaa,..ashukuliwe bwana
 
Kwa kwel nataman kujua kama baba god huyo yupo au na yaye alifika ukingoni wa maisha yake
Pale Mwanza kuna huyo mchungaji fake baba God, classmate wa Gwajiboy enzi za sekondari na wabia kipindi kile wanaanza pamoja huo mradi wa injili fake kabla ya kutengana. Alichomfanyia jirani, muumini wake na school mate wake (Pendo B...) hakika Mungu anamwona popote alipo. Kisa ni kwamba baba God akiwa kanisani kwake aliwataka waumini wote wafumbe macho ili afanye alichokijua mwenyewe. Wengine walipofumba macho huyo Pendo akawa hakufumba na akashuhudia mambo ya ajabu yaliyokuwa yakifanywa na mchungaji na bahati mbaya wakagoganisha macho yao. Ndani ya siku chache binti akapoteza maisha. Wengi wa wanaomjua/waliomjua baba God wanafahamu kisa hiki.

Hadi leo ni miaka kadhaa sasa imepita haijulikani kama baada ya Pendo kufariki mchungaji mwenyewe yupo hai au alikufa. Na kama alikufa alikufa kifo cha kawaida au alipotezwa na system. Uliza yoyote alipo baba God hautapata jibu la uhakika.
 
Cha ajabu zaidi wanahubiri sana habari za mafanikio tupu bila kujua ktk maisha kuna uzima wa milele, ujio wa Yesu mara pili na kuna baadhi ya madhehebu kuna kiwango cha ulazima kutoa sadaka ndipo upatiwe huduma km vile inauzwa

Yan hapa kila nikiwaza kwenda kanisani nakosa nguvu nikitaka kwenda msikitini nako naona yaleyale bora nisali tu ndani kwangu nimlilie mungu wangu ninaye mjua muumba ardhi na mbingu hizi nadharia nyengine zinanichanganya.
 
"Hakika mtakufa nahamtaishi milele" Mungu atusaidie Me tuweze kuishi na Ke kwa akili sana 7bu shetani anavitumia sana kutuangamiza Me.
Dah inasikitisha sana kuna dada yangu yupo kanisa moja kitunda huko umwambii kitu na anasema huyo nabii hatokufa atapaa,yani hapo nikaona kweli sio akili zake na sijui kama hajamgonga manake anaongoza kushawishi watu waende kwa sgy.
 
Back
Top Bottom