Mchungaji afichua jinsi watumishi feki wanavyopata nguvu ya kutenda miujiza na utajiri

Pale Mwanza kuna huyo mchungaji fake baba God, classmate wa Gwajiboy enzi za sekondari na wabia kipindi kile wanaanza pamoja huo mradi wa injili fake kabla ya kutengana.

Alichomfanyia jirani, muumini wake na school mate wake (Pendo B...) hakika Mungu anamwona popote alipo.

Kisa ni kwamba baba God akiwa kanisani kwake aliwataka waumini wote wafumbe macho ili afanye alichokijua mwenyewe.

Wengine walipofumba macho huyo Pendo akawa hakufumba na akashuhudia mambo ya ajabu yaliyokuwa yakifanywa na mchungaji na bahati mbaya wakagonganisha macho yao.

Ndani ya siku chache binti akapoteza maisha. Wengi wa wanaomjua/waliomjua baba God wanafahamu kisa hiki.

Hadi leo ni miaka kadhaa sasa imepita haijulikani kama baada ya Pendo kufariki mchungaji mwenyewe yupo hai au alikufa. Na kama alikufa alikufa kifo cha kawaida au alipotezwa na system? Uliza yoyote kuhusu alipo baba God hautapata jibu la uhakika.
 
Pale Mwanza kuna huyo mchungaji fake baba God, classmate wa Gwajiboy enzi za sekondari na wabia kipindi kile wanaanza pamoja huo mradi wa injili fake kabla ya kutengana. Alichomfanyia jirani, muumini wake na school mate wake (Pendo B...) hakika Mungu anamwona popote alipo. Kisa ni kwamba baba God akiwa kanisani kwake aliwataka waumini wote wafumbe macho ili afanye alichokijua mwenyewe. Wengine walipofumba macho huyo Pendo akawa hakufumba na akashuhudia mambo ya ajabu yaliyokuwa yakifanywa na mchungaji na bahati mbaya wakagoganisha macho yao. Ndani ya siku chache binti akapoteza maisha. Wengi wa wanaomjua/waliomjua baba God wanafahamu kisa hiki.

Hadi leo ni miaka kadhaa sasa imepita haijulikani kama baada ya Pendo kufariki mchungaji mwenyewe yupo hai au alikufa. Na kama alikufa alikufa kifo cha kawaida au alipotezwa na system. Uliza yoyote alipo baba God hautapata jibu la uhakika.
Aiseeeee interesting
 
Hahaaa...hizi habari kila siku zinachambuliwa humu ktk jukwaa la dini, utasikia wapumbavu wakijitetea "Wasabato wana shida sana" kumbe ndiyo hayo hayo yanayohubiri kwa nguvu za giza.
Mm siku hzi naichunga roho yangu mwenyewe

Na nasikiliza mahubir ya wachungaji wazaman waliokua serious na mambo ya iman like moses kulola

Billy graham

Myles munroe

Hawa wakna gwajima

Sijui maji ya upakato

Sijui nani etc

Ahahaa hawanpati

Sadaka yangu natoa kwa wasiojiweza

Hafu am so blessed yaan hadi naogopa
 
Mungu awe pa1 nawe Kaka, tatizo kuna Mawatu mabishi yanayotaka kumfanya Mungu ni mwongo aliponena ktk;

MATHAYO 24, MATHAYO 7:15-21, 1WAKORINTHO 11:14-15, 1YOHANA 4:1-6 & ISAYA " ENENDENI KTK KWELI NA USHUHUDA"
Sijawahi na sitakuja kwenda kwenye makanisa ya Mitume/Nabii.

Tujifunze kuomba ktk roho na kweli badala ya kutegemea miujiza.

Mungu atupatie macho ya rohoni kuwatambua manabii /wachungaji wanaotumia nguvu za kipepo
 
Kizazi cha 4 hiki, cha ajabu shetani anawatumia sana Ke 7bu anawaamini ni viumbe dhaifu kuliko hata maelezo.
Ndiyo maana siku hizi sipati binti wa kubikiri kumbe nyie Wachungaji Ndiyo mnawamaliza kila nikikutana na kabinti najua Haka Leo naenda kutoa Sili cha Ajabu Nakuta lango liko wazi Tena Mtoto ndiyo kwaaanza ananivuta kiuno niweke yote.
 
Cha ajabu zaidi wanahubiri sana habari za mafanikio tupu bila kujua ktk maisha kuna uzima wa milele, ujio wa Yesu mara pili na kuna baadhi ya madhehebu kuna kiwango cha ulazima kutoa sadaka ndipo upatiwe huduma km vile inauzwa
Unajua mm nashangaa wachungaji na manabii wa siku hzi wanamiliki majumba na magari Ya kifahari wakati Yesu alikuwa na kanzu moja tu miaka yote arobaini.
 
Back
Top Bottom