Kuna mijitu ipo determined, kilo kitu gani bana kama K ipo classic inarusha tu.
Acha upuuzi msamaha unaomba wanini, mie sikutaka kuchangia lakini imebidi nichangie maana naona unajilaumu kwa wakati mwanamke mwenyewe moja ni malaya aliyekubuhu (kumtongoza mwanaume kwa siku3...), pili alikuwa anatafuta sababu ya kuachana nawe kwa nguvu (ukilazimisha huyu atakupa shida sana kwenye ndoa), tatu ukiona mwanamke anaonyesha kutokukuamini mapema hivi hili ni balaa maana ndoa yenyewe haina maana, mwisho naushauri mdogo wangu siku nyingine ukitongozwa kwenye simu au kupigiwa tu simu na mwanamke hakikisha umejiridhisha kwa macho yako kwamba umemfahamu anafananaje kabla hujaanza kufikiria kungonoka maana ipo siku atakuja mtu ni mifupa mitupu, mgonjwa balaa, utafanyaje huko guest??Kweli nimefeli mtihani mdogo sana, na ilikuwa mwezi wa 3 nikalipe mahali, najuta sana, najaribu kumuomba msamaha anisamehe tu kibinadamu nimekosea, ye bado hataki kukubali anataka tuachane, kiukweli imenipa funzo kubwa sana na akikubali kunisamehe mi ctarudia hata
Nimekubali ili yaishe, lakini bado ana hasira, tatzo jingine anaomba nimtumie hela ya hospt akatibiwe, nimempa, ila ndo bado hataki kusamehe,
utanivunja mbavu zangu ndugu
Ni kweli chaashe usemavo, lakini mwanzoni nilikataa sana, yani kaning'ang'ania sana kuwa tumesoma wote chuo udom ingawa tulikuwa tushare baadhi ya koz, na nilishawahi mtengenezea laptop yake nilikuwa fundi, ivyo no yangu alikuwa nayo hivyo nimemsahau tu, nikakataa hadi kanishawish tukatane gest, kibinadamu nikawa dhaifu ka wanaume tulivyo kwa wadada, cjui hata nifanyeje
cjakuelwa bi donatila unamaanisha nini
Tamaa mbaya, unaonekana unapenda sana vya mteremko, ulijua umepata kumbe umepatikana. Mfuate mwambie ulijua kama ni yeye kwa hiyo ulitaka kuona je angekuja guest kweli. Lakini kwa sababu hujaja sasa unamuamini zaidi.