Na wewe ulikubalije kwenda kuchukua chumba na mwanamke humjui? Lingekuja jini je?
Sijui kama ni mchumba sahihi kwako huyo. Wanawake tambueni kuwa sisi wanaume ni dhaifu sana linapokuja suala la mwanamke kukuwekea mitego.
Hata mitume akiwemo Mohammed na Jesus mitego ya wanawake iliwashinda kabisa???

mbona yeye ana mchumba ambaye ni wewe na amekutongoza?
Inakuaje wewe uliyekubali mtongozo wa mtu usiyemjua unaonekana una kosa...
Lakini yeye aliyeanzisha mtongozo kwa mtu asiyemjua anajiona yupo sahihi?
Kama unamuhitaji basi mgeuzie kibao kuwa na mbona yeye ana tabia ya kutongoza wanaume...je kashatongoza wangapi??
Hata hivyo siku nyingine bwana mdogo jaribu kuwa na akili yenye akili...usiwe unaingia mkenge kirahisi hivyo utakuja kuliwa uwemba watu waharibu heshima ya makalio yako...
Acha uongo wewe, kama Muhamad yalimshida Usimtaje Yesu plz wapi Yesu kategwa na Mwanamke akashindwa?
unauhakika ndugu kuwa iliwashinda... source plz