Mchumba wangu katolewa kizazi

Mchumba wangu katolewa kizazi

Ama sijakuelewa? kumbe hata mtu akikatwa mguu watu wa upako wanaweza kuurudisha! asee kama ni kweli hii ni habari njema kwa watanzania.
Hahaha..kiongozi nimecheka. Hizi imani za watanzania zinanistaajabisha Sana!!!
 
Kama Ni Kweli Pole Sana Mkuu ILA Kama Wewe Ni Mwenye Imani TIMILIFU Na Siyo Ya KIPOPOMA Tafadhali Mpeleke Shemeji Yetu Kwa Watumishi Wa Mungu Wenye UPAKO Kwa Mfano Kwa Nabii Frola Na Nina Uhakika Huyo SUKARI Wako Atapona Na Kizazi Kitafanya Kazi Na UKIGEGEDA Tu Utazaa Nae MAPACHA 12!

mweee!!!
 
Mushukuluni mungu kwa kila jambo maana fadhili zake ni za milele, mungu analengo lake kufanya hivyo usimwache mpende.
 
U guys can even adopt. Kama unampenda plllz usimuache atalia sana na mm nakuhakikishia huo ni mtihani ti wa maisha usijali huwezi kuwa happy na mwanamke yoyote zaidi yake yeye. Hata ukipata mwenye kizazi atakuzalia watoto ila hautafurahi utamkumbuka mpnz wako. Alafu huyo dada ataumia sana kwely kaka yangu unaweza muacha huyo dada koz hana kizazi aisee nisikudanhanye hutafurahi maisha yako yote na nafsi itakusuta siku zako zote mpk unakufa. Na machozi ya huyo dada yatakukosesha amani. Pllz muachie mungu go en consult watu wa mungu jmn. Usimuache uwiiiiiii we kaka plllz. Sijui nielezee vp hapa kwa text uelewe jmn nakuomba usimuachw tafadhali.
 
Well if you can't use PM sorry to say that I wouldn't do it. Kwa wewe ndie uliyeuliza then jibu ulilitaka kulipata wewe sio ndio hivyo. Na kuhusu huyu kaka kama akiwa na swali zaidi niliyoyajibu atani PM. And then about my personal realtionship ,nilioileta hapa on JF , please go read my story again because i doubt it kama uliielewa vizuri , Good day . Thanks.
I don't wanna dig deep but your previous story seemed to be half-baked. Kumbe hata watoto unao bhana...sasa unadhani yule jamaa atajibana na weye wakati una watoto afu hutaki kumpa mbunye.
 
usimuoe kwetu waafrika ndoa si suala binafsi ni suala la kijamii unaweza mkubali wewe lakini badae ikawa shida kutoka kwa ndugu.
 
Habari waungwana, naomba kusaidiwa kimawazo nifanye nini katika hili.

Nina mchumba wangu ambaye tumekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka miwili na nusu, japo sijawahi kujitambulisha kwao mpango wa utambuzi ulikuwa ni mwezi huu wa November na mipango ilikuwa ishawafikia wazazi.

Hivi majuzi mchumba wangu aliugua gafla tumbo na baada ya vipimo alilazimika kufanyiwa upasuaji uliopelekea kuondoa mfuko wa uzazi ili kunusuru maisha yake.

Ukweli nimechanganyikiwa nini nifanye, hasa ikizingatiwa tunapendana sana.

Lakini nawaza je, ndo hatutapata familia yenye watoto kabisa kama tutaoana? Tafadhali hebu nijengeni kifikra.

Mungu ashukuriwe na ikiwezekana azidi kutoa vizazi wengi tu, kupunguza ufisadi!

 
Km kweli unampenda muoe, na katika maisha usipende kumpenda mtu kwa kitu fulani kwani ipo siku ukipendacho kitapata mitihani km huo wa kutolewa kizazi.
 
I don't wanna dig deep but your previous story seemed to be half-baked. Kumbe hata watoto unao bhana...sasa unadhani yule jamaa atajibana na weye wakati una watoto afu hutaki kumpa mbunye.

Excuse me ,Do you really want to go there? You really don't know me and I don't even know you, lets keep that way, so please stop talking nonsense about me, how do you know if the guy don't have any kids? How? So please respect me, and I will respect you back . So do me a favor mind your own business first please ,before starting other people's business. Thanks!
 
dah hapo pagumu aseee

Kwa mwanadamu ni pagumu kwa Mungu hakuna ugumu,

Pia pana jaribio la kisanyansi limefanikiwa huko nchini sweden pana tumbo la uzazi anapandilizwa mtu na kuweza shika ujauzito, kulea mimba na kujifungia.

Wanasema ni mkomozi kwa watu wenye uhitaji huo. Ni ujuzi mpya hivyo gharama take itakuwa mpyaa pia (juu).

All in all kwa Mungu nizaidi.
 
Uliwahi kuona mtu anasimama bila miguu? au unaweza kuona bila macho? hakika hakuna uzazi bila kizazi.

Jina lako tu lina portray namna ya uyasemayo.

Pama jamaa mmoja yupo Kenya huko hama tumbo na anaishi na msosi anakula kama kawaida.

Hujawai kuona au hatakusikia ya kwamba kipofu mkongwe hapotei njia?!

Pana mwalimu mmoja ni kipofu kabisa ila ilikuwa akikosekana mtu class anajua au hata usipovaa soksi au usipo andika au ukikaa sehemu tofauti na yako anajua na kuuhoji.

Tembea uone, uliza ujifunze.

Hakuna jambo gumu kwa Mungu.
 
When it comes to that sina cha kufanya dear, nitaprove kwa wangapi? , my work is just to tell you the truth either you take it or not . Thanks!

Basi samahani ila uwe unaandika kiswahili, maana wengine tulikimbia umanda.
Thanks.
 
Back
Top Bottom