Mchumba wangu katolewa kizazi

Mchumba wangu katolewa kizazi

jamani hii imani humu jamvini mmetoa wapu? sasa kizazi kimetolewa japo sababu hasa haijatolewa nyie mnasema kwa uwezo wa Mungu atazaa hicho mnachoongea ni kweli? chukueni nafasi mngekuwa nyie mngefanya hayo mnayomwambia? ni bora angekuwa hajui. ingeeleweka sasa anajua na tena ameona. acheni masihara.
 
Kwa imani.With God everything is possible.Ndio maana anaitwa Mungu

imani is not consistency chances are hutapata mtoto y bother in the first place kujiingiza kwenye maiaman mapema yote...... we all have our places in this world hata ukimuacha wewe haitakua mwisho wa maisha yake she will find happiness of some sort in her life so piga chini baba mapema!!!!
 
Hahaha hy miujiza haipo tena ilikuwa enz za mitume

Tatizo watanzania kila kitu wanaingiza siasa.
Unaoa mwanamke asiyezaa wa nini? halafu unajidanganya eti miuijiza itatokea mtapata watoto. Muoe huyo uishie kutangatanga nje kutafuta watoto wa kusingiziwa wakati ulikuwa na nafasi ya kuoa mwnamke kamili mwenye uwezo wa kuzaa.

Ilivyokusudiwa na Mungu Kijana aende kwa wazazi wa msichana ambaye matiti yamesimama anamuoa na kuja kuanza nae maisha kisha Mungu anawapatia zawadi ya ndoa ambayo ni watoto.
 
Hamna muujiza hapo.
Huyo hatakuwa na uwezo wa Kuzaa , usidanganyike kuwa kuna cha muujiza.
 
Watapata mtoto kivipi?

Wanaweza kupata watoto kwa uwezo wa Mungu.

Mungu ana uwezo wote wa kuumba na kuhuisha na kufufua wafu....

Biblia inasema.....

Katika Injili ya Yohana 11: 20 - 45 inasema.....

20 Basi Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alikwenda kumlaki; na Mariamu alikuwa akikaa nyumbani.
21 Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.
22 Lakini hata sasa najua ya kuwa yo yote utakayomwomba Mungu, Mungu atakupa.
23 Yesu akamwambia, Ndugu yako atafufuka.
24 Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho.
25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
26 naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
27 Akamwambia, Naam, Bwana, mimi nimesadiki ya kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni.
28 Naye alipokwisha kusema hayo, alikwenda zake; akamwita umbu lake Mariamu faraghani, akisema, Mwalimu yupo anakuita.
29 Naye aliposikia, aliondoka upesi, akamwendea.
30 Na Yesu alikuwa hajafika ndani ya kijiji; lakini alikuwa akalipo pale pale alipomlaki Martha.
31 Basi wale Wayahudi waliokuwapo na Mariamu nyumbani, wakimfariji, walipomwona jinsi alivyoondoka upesi na kutoka, walimfuata; huku wakidhania ya kuwa anakwenda kaburini ili alie huko.
32 Basi Mariamu alipofika pale alipokuwapo Yesu, na kumwona, alianguka miguuni pake, akamwambia, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.
33 Basi Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliofuatana naye wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake,
34 akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame.
35 Yesu akalia machozi.
36 Basi Wayahudi wakasema, Angalieni jinsi alivyompenda.
37 Bali wengine wao wakasema, Je! Huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?
38 Basi Yesu, hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake.
39 Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne.
40 Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?
41 Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
42 Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
43 Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
44 Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.
45 Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.
 
Kama haiwezekani kusimama bila miguu basi; hata kuzaa bila kizazi haiwezekani, hizo zingine ni imani za kufarijiana kiungo ili kusumiza siku.

Kwa uwezo wa Mungu, yote yanawezekana.

Wagonjwa wa magonjwa yasiyo na dawa wanapona, hivyo hata kupata mtoto kwa huyo dada inawezekana.

Sikiliza shuhuda hizi chache za watu waliopokea miujiza yao kutoka kwa Mungu...
Tatizo la huyo dada ni dogo kabisa...

Bishop Kakobe: Testimonies of HIV/AIDS healing miracles - YouTube
 
Hamna muujiza hapo.
Huyo hatakuwa na uwezo wa Kuzaa , usidanganyike kuwa kuna cha muujiza.

Miujiza ya Yesu Kristo ipo kama unamuamini Yesu Kristo.

Unapokea miujiza ya Yesu kwa imani, ili Yesu afanye miujiza yake kwako.

Usipoamini, hakika huwezi kupokea chochote toka kwa Yesu.
 
ukiamua kumuoa usimsimange, nakuahaur tafuta mtu mwingine huyo bora aje ampate mtu asiye na interest na watoto
 
Miujiza ya Yesu Kristo ipo kama unamuamini Yesu Kristo.

Unapokea miujiza ya Yesu kwa imani, ili Yesu afanye miujiza yake kwako.

Usipoamini, hakika huwezi kupokea chochote toka kwa Yesu.

Hamna kitu km hicho mkuu!
Huwezi kutegemea miujiza ya mavuno km hujalima.
Hiyo haiwezekani.
 
Mimi mdogo ila ndo umueleze atapataje mtoto xx, najua ile njia ya artifical womb sijui watakua wametoa na ovary zinazo toa mayai wala sijui kama technolojia hii ipo huku
pole kwa uwezo wa mungu mtapata watoto
 
sema nae akupe maoni yake, sikiliza moyo wako.

Mwisho kumbuka kuna wenye watoto wanao tamani wasingekuwa nao.

Ikiwa Mungu kapenda muishi pamoja mtaishi, ikiwa hajaamua basi usitie shaka.

Jiulize hivi ungekuwa ni wewe umepoteza koro.dani ungefanyaje? Unadhani angeamua nini? Majibu ya hapo yatumie kufanya maamuzi.
 
Kwanza shukuru Mungu umeujua huu ukweli mapema, ungeweza kutokujua kwani ni haki ya mgonjwa kukwambia au kuuchuna. Kama kakwambia yeye mwenyewe basi shukuru ni mwanamke mwema. But ndugu yangu usiulazimishe moyo. Katika kufanya maamuzi nakushauri kaa peke yako jijibu maswali haya:
1. Mungu akikupa 30 more yrs upo tayari kuishi bila mtoto wakati unajua una chance ya kuwa nae elsewhere?
2. Kati ya kuishi nae bila mtoto na kuishi na mwanamke mwingine na mtoto kipi ni kizito zaidi kwako?
3. Ukiendelea ukamuoa je unamuoa kwa kumpenda au kwa kumuonea huruma?
4. Do u think una chance ya greater happiness na another woman than with her?
Kaka kumbuka ipo siku mtagombana na atakwambia u chose kuwa na mimi while u knew sizai, i hope u wont regret ur decision ukiamua kukaa nae. Na pia kumbuka kwenye ndoa mapenzi kuna saa yanachuja...
 
wenzenu wanatafuta watoto nyie mnatoa momba halafu unaleta uchafu wako hapa unajitaji msaada!!!!!! pesa ya kutoa huo ujauzito ulisaidiwa na nan? kwa hiyo mlitoa hiyo mimba ili wazazi wajue nyie ni mabikra au? kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiioooooiiiiiiiiiiiiooooooooo
 
Miujiza ya Yesu Kristo ipo kama unamuamini Yesu Kristo.

Unapokea miujiza ya Yesu kwa imani, ili Yesu afanye miujiza yake kwako.

Usipoamini, hakika huwezi kupokea chochote toka kwa Yesu.[/QU



Mama yake YESU mwenyewe mimi minayemwamini alikuwa na kizazi. tena aliitoa hiyo mimba kwa madawa ya kienyeji huyo.hakuna miujiza kwa muuaji shiiit
 
Inawezekana na nimeshuhudia kwa macho yangu , kama aliweza kumfufua aliyekufa kabisa na alizikwa na still akafufuliwa. Why mungu ashindwe sasa, why?. Mjaribuni mungu nae hatokuwa mbali nawe.kuna couples wako pitia zaidi ya hili, huyo Dada aliondoshwa kizazi, pamoja na multiples other surgeries , walimlilia mungu na amewabariki 3 children naishi now hapa majirani zangu do what are u talking about. People God is still alive. Kwa sababu ya dhambi zetu hatuwezi kumuona mungu kirahisi akitenda miujiza . Asante!

Kumfariji nakumshauri mtu ni jambo jema lkn kumdanganya cjambo jema,,,,,,Unataka kuniambia wasiofanikiwa hawamuani MUNGU? Hayo mambo mnayozungumzia yalikuwa zamani wakati ambao watu walikuwa karibu na MUNGU sio kwa sasa Dunia imejaa kila aina ya uovu MUNGU amekuwa mbali nasi,,tangu kipindi hicho hadi mbona hatujackia ishara km zakukausha Bahari na mambo mengi km hayo sanasana utackia ghilba wenyewe wanaita Ushuhuda kwamba mtu kapona ukwimi ilhali ni Usaniii tu si nnachotaka kusema huyu ndg tumtie MOYO lkn tucmdanganye,,,,! Kwa issue yake anatakiwa ajipe muda wakufikiri actegemee sana ushauri cz yy ndo anaenda kuliface tatizo naasikudanganye mtu niafadhali km ulikuwa hujui kuwa hamtapata mtt lkn vinginevyo hiyo NDOA ni mateso chakufanya km anavyosema wanapendana wakubaliane kwamba wataishi vp nahilo tatizo Je,wachukua mtt kwenye Vituo vyakulelea yatima au wanauwezo wakupandikiza lkn kumwambia MUNGU atafanya bila ya wao kufanya kitu nisawa kupiga DEKI BAHARINI,,,,,!
 
Hamna kitu km hicho mkuu!
Huwezi kutegemea miujiza ya mavuno km hujalima.
Hiyo haiwezekani.

Inategemea wewe una imani gani.

Kama wewe ni m-Kristo, utakuwa unafahamu kuwa Yesu alitenda miujiza mingi sana.

Mojawapo wa miujiza yake ki muujiza wa kumfufua Lazaro. Lazaro alikufa na kuzikwa na kukaa kaburini kwa siku nne.
Yesu akaja akamfufua Lazaro aliyekua amekufa na kuzikwa kwa siku nne.

Hapo vipi..??

Kisayansi unaweza kusema kuwa inawezekana ..??

Kama unamwamini Yesu, anaweza kuumba upya kila kiungo cha mwili.
Yesu pia alimponya kipofu aliyekua haoni tangu azaliwe...

Hapo vipi..?? Mtu kipofu anawezaje kuona..??

Mtume Paulo pia alimponya mtu aliyekua kiwete tangu azaliwe.
Vipi mtu kiwete mwenye miguu iliyopindana, na ambaye hajawahi kutembea maisha yake yote, anaweza kutembea ghafla..??
Hapi vipi..??
 
Miujiza ya Yesu Kristo ipo kama unamuamini Yesu Kristo.

Unapokea miujiza ya Yesu kwa imani, ili Yesu afanye miujiza yake kwako.

Usipoamini, hakika huwezi kupokea chochote toka kwa Yesu.[/QU



Mama yake YESU mwenyewe mimi minayemwamini alikuwa na kizazi. tena aliitoa hiyo mimba kwa madawa ya kienyeji huyo.hakuna miujiza kwa muuaji shiiit

Inategemea wewe una imani gani.

Kama wewe ni m-Kristo, utakuwa unafahamu kuwa Yesu alitenda miujiza mingi sana.

Mojawapo wa miujiza yake ki muujiza wa kumfufua Lazaro. Lazaro alikufa na kuzikwa na kukaa kaburini kwa siku nne.
Yesu akaja akamfufua Lazaro aliyekua amekufa na kuzikwa kwa siku nne.

Hapo vipi..??

Kisayansi unaweza kusema kuwa inawezekana ..??

Kama unamwamini Yesu, anaweza kuumba upya kila kiungo cha mwili.
Yesu pia alimponya kipofu aliyekua haoni tangu azaliwe...

Hapo vipi..?? Mtu kipofu anawezaje kuona..??

Mtume Paulo pia alimponya mtu aliyekua kiwete tangu azaliwe.
Vipi mtu kiwete mwenye miguu iliyopindana, na ambaye hajawahi kutembea maisha yake yote, anaweza kutembea ghafla..??
Hapi vipi..??
 
Back
Top Bottom