Mchumba wangu katolewa kizazi

Mchumba wangu katolewa kizazi

Kumfariji nakumshauri mtu ni jambo jema lkn kumdanganya cjambo jema,,,,,,Unataka kuniambia wasiofanikiwa hawamuani MUNGU? Hayo mambo mnayozungumzia yalikuwa zamani wakati ambao watu walikuwa karibu na MUNGU sio kwa sasa Dunia imejaa kila aina ya uovu MUNGU amekuwa mbali nasi,,tangu kipindi hicho hadi mbona hatujackia ishara km zakukausha Bahari na mambo mengi km hayo sanasana utackia ghilba wenyewe wanaita Ushuhuda kwamba mtu kapona ukwimi ilhali ni Usaniii tu si nnachotaka kusema huyu ndg tumtie MOYO lkn tucmdanganye,,,,! Kwa issue yake anatakiwa ajipe muda wakufikiri actegemee sana ushauri cz yy ndo anaenda kuliface tatizo naasikudanganye mtu niafadhali km ulikuwa hujui kuwa hamtapata mtt lkn vinginevyo hiyo NDOA ni mateso chakufanya km anavyosema wanapendana wakubaliane kwamba wataishi vp nahilo tatizo Je,wachukua mtt kwenye Vituo vyakulelea yatima au wanauwezo wakupandikiza lkn kumwambia MUNGU atafanya bila ya wao kufanya kitu nisawa kupiga DEKI BAHARINI,,,,,!

Dear I'm not expect you to believe or not . My work is to tell you the truth either you believe it or not . Hata Yesu alipohubiri alisema mwenye masikio na asikie . Thanks.
 
Remote watu wana imani humu jamvini balaa...! Engine imeng'olewa watu wanasema kwa imani gari itapanda mlima kitonga? Aaaah!

Hizi imani duuuh gari inatembea bila engine hiyo mimba inashikia 2mboni nini.eti ameona mtu katolewa engine akapata watoto huo uwongo chiboko
 
Last edited by a moderator:
U guys can even adopt. Kama unampenda plllz usimuache atalia sana na mm nakuhakikishia huo ni mtihani ti wa maisha usijali huwezi kuwa happy na mwanamke yoyote zaidi yake yeye. Hata ukipata mwenye kizazi atakuzalia watoto ila hautafurahi utamkumbuka mpnz wako. Alafu huyo dada ataumia sana kwely kaka yangu unaweza muacha huyo dada koz hana kizazi aisee nisikudanhanye hutafurahi maisha yako yote na nafsi itakusuta siku zako zote mpk unakufa. Na machozi ya huyo dada yatakukosesha amani. Pllz muachie mungu go en consult watu wa mungu jmn. Usimuache uwiiiiiii we kaka plllz. Sijui nielezee vp hapa kwa text uelewe jmn nakuomba usimuachw tafadhali.

Duuuh unamshauri mtu aka adopt mtoto kwanini usimshauri azae wke then wamlee.damu yko ni yako tun upendo wke uko kwenye c wakulazmisha
 
m nadhan mjadili hili suala kiundan we we na mwenzi wako. kuwa kama mtaoana kuhusu watoto itakuaje, km ikiwezekana mnaweza hata kuadapt mtoto mkamlea akawa wenu. kwa sababu sidhan km ni vyema ukamkimbia kisa hilo tatizo. kwan kabla hujafa hujaumbika. mjadili kwa upana sana hilo jambo kabla ya ndoa.

Kwanini humshauri azae mtoto c kuadopt wakti anauwezo w kuzaa tena damu yke
 
mi ushauri wangu mwingine km kweli unampenda bora umuache kaoe kwingine kwa sababu ukimuoa sidhani km utakubali ukae bila watoto utaanza kupiga show za nje ukipata mtoto baas unaweza jisahau ukahamia kwa mwenye mtoto kabisa huyu mdada ikala kwake
we muache for good kaoe kwingine
usije ukamuumiza bure

Umenena vizuri sana wengine wanamshauri kuadopt mtoto wakti jamaa hana shida c bora apate mtoto kwingne alee damu yke.mtu anamwambia eti oa utapata mtoto cjui kwa njia y gani hizi imani zitatupeleka pabaya
 
Duuuh unamshauri mtu aka adopt mtoto kwanini usimshauri azae wke then wamlee.damu yko ni yako tun upendo wke uko kwenye c wakulazmisha

Akazae na nani. Mmmh kuzaa kwingine wadada sie unatujua hatuchelewi kuwa ving,ang,nizi mpk mwanaume aanza kusahau kilichompeleka. Yaan azalishwe mwingine aolewe mwingine. We ndugu nahisi bado ujawajua wanawake vzr. Refer kwenye bible ya sarah na mfanyakazi wake. Ukiambiwa mwanamke ni jazabel usibishe ndugu
 
Akazae na nani. Mmmh kuzaa kwingine wadada sie unatujua hatuchelewi kuwa ving,ang,nizi mpk mwanaume aanza kusahau kilichompeleka. Yaan azalishwe mwingine aolewe mwingine. We ndugu nahisi bado ujawajua wanawake vzr. Refer kwenye bible ya sarah na mfanyakazi wake. Ukiambiwa mwanamke ni jazabel usibishe ndugu

Hivi kma nauwezo w kuzalisha kwanini niadopt mtoto pia wa2 mnaongea kwa vi2 vya kusoma kwenye vitabu,ongeeni kwa proof y macho kua uliona m2 amezaa wakti hana kizazi
 
Mmmnnnhhhh
Mwanzo nilitaka kusema hivi hivi lakini nikawaza...je kizazi kikitolewa mbegu zinabaki????

Nadhani wanaotumia hiyo njia ni wale wenye tatizo kwenye mfuko wa uzazi lakini wana kizazi...labda tuombe ufafanuzi wa wataalamu wa afya....

Unless unataka kusema baba achukue mbegu afu apandikize kwa mwanamke mwingine...yani ampe mimba bila sex...

Wako wamama wa hivyo Thailand wanafanya illegally...sababu ya njaa

oh yaa...hatujamuuliza.

lakini anaweza akawa ametolewa uterus peke yake..mayai na tubes zikabaki...au katolewa na tubes...

eti Luhungu ametolewa na mayai??
 
Last edited by a moderator:
Habari waungwana,
naomba kusaidiwa kimawazo nifanye nini katika hili.

Nina mchumba wangu ambaye tumekuwa katika mahusiano kwa takribani
miaka miwili na nusu, japo sijawahi kujitambulisha kwao mpango wa
utambuzi ulikuwa ni mwezi huu wa November na mipango ilikuwa ishawafikia
wazazi.

Hivi majuzi mchumba wangu aliugua gafla tumbo na baada ya vipimo
alilazimika kufanyiwa upasuaji uliopelekea kuondoa mfuko wa uzazi ili
kunusuru maisha yake.

Ukweli nimechanganyikiwa nini nifanye, hasa ikizingatiwa tunapendana
sana.

Lakini nawaza je, ndo hatutapata familia yenye watoto kabisa kama
tutaoana? Tafadhali hebu nijengeni kifikra.

pole mkuu its complicated
 
Habari waungwana, naomba kusaidiwa kimawazo nifanye nini katika hili.

Nina mchumba wangu ambaye tumekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka miwili na nusu, japo sijawahi kujitambulisha kwao mpango wa utambuzi ulikuwa ni mwezi huu wa November na mipango ilikuwa ishawafikia wazazi.

Hivi majuzi mchumba wangu aliugua gafla tumbo na baada ya vipimo alilazimika kufanyiwa upasuaji uliopelekea kuondoa mfuko wa uzazi ili kunusuru maisha yake.

Ukweli nimechanganyikiwa nini nifanye, hasa ikizingatiwa tunapendana sana.

Lakini nawaza je, ndo hatutapata familia yenye watoto kabisa kama tutaoana? Tafadhali hebu nijengeni kifikra.

Kuna njia nyingi za kupata watoto. Sio lazima abebe mimba kwenye tumbo lake
 
Dear I'm not expect you to believe or not . My work is to tell you the truth either you believe it or not . Hata Yesu alipohubiri alisema mwenye masikio na asikie . Thanks.

Uckimbie rafikii kuja tusaidie kumshauri kijana manake hapo alipo hayuko sawa plzzz,, loveissweet
 
Last edited by a moderator:
adoption of kid ni solution. kama vipi na wewe fanya vasectomy ngoma iwe droo
 
Back
Top Bottom