Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Mmhhmm dear inawezekana through Jesus Christ . Asante!
Hata mimi najua inawezekana, lakini sio kama tunavyotaka sisi.
Mmhhmm dear inawezekana through Jesus Christ . Asante!
Wow amazing, msaada mzuri dear mungu akubariki. Thanks !
LOL.
Haya Mrs. Thanks
Mlete kanisani kwetu aombewe ili apate kizazi kingine!
Such a predicament! Ukiskia the test of true love ndo hiyo.Inabidi ufanye some soul searching ujue how much you love her
Umenibadili mawazo! Hivi hii story yako ulisha wai kuiweka hapa?Because Of our unbelief mungu huwa anafanya hivi ili kukupima Faith yako dear, Faith without action is dead. So its up to him to decide. Hii issue in natural way inaoneka its impossible but in Faith is possible . People are healed from the cancer, HIV, dead people have Rosen again, sembuse kizazi ambacho hata Mimi niliambiwa hivyo hivyo na Doctor nchi za nnje, and tubes were completed removed and still here standing with my biological children what are you talking about. You people don't know nothing some of you, and it piss me off to see mnamkatisha huyu jamaa tamaa just because your own unbelief. Hakuna MTU atakayenidanganya hapa kuhusu Mungu because I saw him through my life and I will never stop to testify his Goodness because his Mercy and Grace are endures forever. Keep walking by sight instead by Faith. When you walk by sight you will never experience God's supernatural favors hata siku moja , because he who believes in him will never put him to shame hata siku moja. Thanks!
Umenibadili mawazo! Hivi hii story yako ulisha wai kuiweka hapa?
Akanana loveissweet! Umeolewa?
Dear kulikoni mpaka unanifananisha na wengine? Mimi humu ndani Nina account 1 tuu. Thanks.
Tutadhibitishaje kama hudanganyi?
Just think deeply ingekuwa Shida imepatikana kwako na ukaachwa kwa Shida iyo ungejisikiaje. Ndoa sio watoto you can adopt sio mbaya kama kweli unampenda endelea na mipango mlokuwa mnapanga na Mungu atakubariki kwa sbb these thing bana unaweza ukafanya otherwise na kule utakoenda ukute big prob na mtt usipate mwachen Mungu aitwe Mungu yote ya kesho anayajua omba hekima Yake itokayo juu ufanye uamuz sahihi. Pole my dear