Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Nishajiengua tayari
Good Girl, umefanya maamuzi sahihi.
Nishajiengua tayari
ID yako imenikumbusha my ex mooja hivi alikuwa mzuri balaa, marafiki wakamtungia hilo jina beautifulonyinye
teheeeeee heeeeeeeee heeeeeee kiruuuu.!yaan my dear nimejitahid sana kuutumia uanamke wangu kumueka sawa lakn mwanaume mwenyewe hip hop yaan anavopenda hizo nyimbo za kina weusi sijui fid Q ndo moyo wake ulivo.. he's not romantic at all hata uige sauti ya Celine Dion bado mambo ni yaleyale.. m tired!!
Polee mumy huyo tiyari kesha pata kiburudisho kipya. Shukuru Mung toa sadaka kanisan omba Mungu akupe aman anza maisha mapyaa. Mungu no mwaminifu utamsahau na life itasonga mbelee
teheeeeee heeeeeeeee heeeeeee kiruuuu.!
Shida ya nyie girls mnaingia inlove completely... Polee
Sasa mimi mume kabisa wa ndoa yeye yuko bize na kazi tu,anaweza kaa siku hata tatu wala haijulii hali familia ukimuuliza anadai kazi za watu anafanya,nimechoka am looking for another side of the coin
pole kipenzi, decent girl wanaume wote ndo walivo so cha msingi, focus kwenye maisha yako tu jikeep busy pia muombe sana Mungu, Atakupa Decent Man!
Habari za humu wana MMU.
Mimi binafsi sijawahi kutoa thread yoyote hapa MMU ila Leo nimeona nije mnipe ushauri.
Mimi ni ke nina mchumba wangu nimedumu naye almost a year ila siku za hivi karibun nimekuwa simwelewi kabisa, kwa mfano nimeenda kwake lakiin haonyeshi furaha uwepo wangu, ninachomuuliza ndicho anachojibu, anaweza akakaa siku nzima bila kunisemesha mpaka nianze mimi kuongea.
Yaani hii hali inaniuma na kuninyima amani ndani ya moyo wangu na nikimuuliza nimemfanya nini kwanini kabadilika hivyo anasema hakuna kitu, mwanzoni tulikuwa tunashikiana simu ila safari hii yeye simu yake kaweka password kila kona.
Kwa kweli nashindwa kumuelewa yaani sina amani ya moyo.
Naomba ushauri nifanyeje maana mpaka hapa nimeshachoka maana moyo wangu si wa chuma.