Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

wanasemaaga ulishaona rais anafannya kampeni na huku kesha chukua ushindi. usikute na wew ulimmegea kabla hajaisinishwa na wakula. ooh ila pole sana kwa hilo fannya maamuz jipange upyaa

sio wote kwan ni wangapi wanadate kwa miaka kadhaa mpaka wanaoana ina maana hao wanakuw hawapean penzi? hicho sio kigezo
 
Habari za humu wana MMU, mm binafsi sijawahi kutoa thread yoyote hapa MMU ila Leo nimeona nije mnipe ushauri.
Mm ni ke Nina mchumbaangu nimedumu naye almost a year ila siku za HV karibun nimekuw simwelewi kabisa, kwa mfano nimeenda kwake lakn haonyeshi furaha uwepo wangu, ninachomuuliza ndicho anachojibu, anaweza akakaa siku nzima bila kunisemesha mpaka nianze mm kuongea yaan hii hali inaniuma na kuninyima amani ndani ya moyo wangu na nikimuuliza nimemfanya nn kwann kabadilika hivo anasema hakuna kitu, mwanzon tulikuwa tunashikiana simu ila safari hii yeye simu take kaweka password kila kona. kwa kweli nashindwa kumuelewa yaani sina amani ya moyo.
Naomba ushauri nifanyeje maana mpaka hapa nimeshachoka maana moyo wangu si Wa chuma

Dada nikuulize kitu kimoja...

Wakati unaanza mapenzi nae, ulifikiria kwamba kuna siku mtaachana?

Kama jibu ni Ndyo;... Ulidhani mtaachana kwa style gani?
 
Kama keshakutafuna utaumia ila utasahau, huyo ni chovya chovya hana mapenzi na wewe huyo jiangalie utakuja kuwa mtumwa wa mapenzi.
 
Dada nikuulize kitu kimoja...

Wakati unaanza mapenzi nae, ulifikiria kwamba kuna siku mtaachana?

Kama jibu ni Ndyo;... Ulidhani mtaachana kwa style gani?

sikuwah kuwaza kuachana
 
Ukiona manyoya.........................Huna chako ndugu tafuta pengine tena atakutoa baru siku zisizohesabika kwani inaonekana anakutafutia sababu.
 
Habari za humu wana MMU, mm binafsi sijawahi kutoa thread yoyote hapa MMU ila Leo nimeona nije mnipe ushauri.
Mm ni ke Nina mchumbaangu nimedumu naye almost a year ila siku za HV karibun nimekuw simwelewi kabisa, kwa mfano nimeenda kwake lakn haonyeshi furaha uwepo wangu, ninachomuuliza ndicho anachojibu, anaweza akakaa siku nzima bila kunisemesha mpaka nianze mm kuongea yaan hii hali inaniuma na kuninyima amani ndani ya moyo wangu na nikimuuliza nimemfanya nn kwann kabadilika hivo anasema hakuna kitu, mwanzon tulikuwa tunashikiana simu ila safari hii yeye simu take kaweka password kila kona. kwa kweli nashindwa kumuelewa yaani sina amani ya moyo.
Naomba ushauri nifanyeje maana mpaka hapa nimeshachoka maana moyo wangu si Wa chuma

Mapenzi.........!!!!!! tabia mtarekebishana tu.!
 
Huyo sio wako tena anafanya hivyo ili ujiongeze hizo sio dalili njema hata kidogo mapenz haya yana meng bora uzingatie mambo yako huyo hakufai
 
labd kagundua hamuendani au kaloose interest kwako, it happens songa mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom