Pole sana rafiki kuna dalili ambazo ukiziona unatakiwa tu uelewe mapenz yameisha ndio kama izo , inaonesha hana feelings zozote tena kwako ndio maana hajali uwepo wako, my friend life is too short go on with ur life usihangaike kuna watu wanapendwa ila hawajielew wakat wenzao wanatamani hizo nafasi, he doesn't worth ur love, relaax mpe nafasi afanye yake na wew fanya yako.
Nyote ndugu Wa baba mmoja
Ah ah aha ha ah tusamehe jamani, huwezi jua nini tunapitia ndio maana tukawa hivyo labda... jiulize kwa nini kama hakutaki hajakuambia iwe ndio mwisho?
nami ndo nashangaa kwann mtu asiseme basi tena kuliko kukaa kimyaa,, aah wanaboa!!
Acha ukome. Miezi miwili yote hujaonana nae unadhani wengine hawamuoni? Nyie watu sijui mkoje? Hapo ukute haukuwa mbali nae ukute ni ndaninya mji mmoja!
Kuwa busy akikutafuta bado yupo asipokutafuta achana naye
Hapo huna chako mamiii.
Hakuna bright future hapo. kama hujuwahi muumiza basi angalia hamsini zako. tafuta wa kujenga naye maisha siyo wa kubabaisha
Toroka uje nikupe dawa ya kumbadilisha