gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,025
Uzi wa 2015 mkuu inabd atupe mrejeshoSimu kaweka password kila mahali bado hujui, huyo ana mwingine
Uzi wa 2015 mkuu inabd atupe mrejeshoSimu kaweka password kila mahali bado hujui, huyo ana mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani weweNa wewe badilika.
njoo pm tuanzishe mahusiano mimi na wewe ila uwe mzuri na mchangamfu,Habari za humu wana MMU.
Mimi binafsi sijawahi kutoa thread yoyote hapa MMU ila Leo nimeona nije mnipe ushauri.
Mimi ni ke nina mchumba wangu nimedumu naye almost a year ila siku za hivi karibun nimekuwa simwelewi kabisa, kwa mfano nimeenda kwake lakiin haonyeshi furaha uwepo wangu, ninachomuuliza ndicho anachojibu, anaweza akakaa siku nzima bila kunisemesha mpaka nianze mimi kuongea.
Yaani hii hali inaniuma na kuninyima amani ndani ya moyo wangu na nikimuuliza nimemfanya nini kwanini kabadilika hivyo anasema hakuna kitu, mwanzoni tulikuwa tunashikiana simu ila safari hii yeye simu yake kaweka password kila kona.
Kwa kweli nashindwa kumuelewa yaani sina amani ya moyo.
Naomba ushauri nifanyeje maana mpaka hapa nimeshachoka maana moyo wangu si wa chuma.
Hata biblia inasema hauaye kwa upanga atakufa kwa upanga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani wewe
Dawa ya moto ..moto
Mapenzi ya dhat kwa wanaume yako dada tena sana tu. Sema mwanaume uliekutana nae sio. Si wanaume wote hawana mapenz.Mapenzi ya kweli siku hizi kwa wanaume hamna ndo maana unaona inakuwa hivi
Mama pole. Siku zote ukiona mwenzi wako kapunguza mawasiliano ujue ni dalili mbaya. Yaan lile penzi lako ndio linachuja kwake.. pia ni njia ya kukwambia kuwa hakutaki lakini kwa vitendo.Mkuu ye ndo Wa kwanza ila mpaka hapa nishachoka na simuhitaji tena kwakweli maana mambo anayoyafanya hapaswi kufanyiwa mtu na moenzi wake, toka Jana sijawasiliana nae na nahis roho yangu ina amani kabisa
Wanaume hawaongozi. Hulka za watu wanatofautiana. Hapo ulipo nina uhakika huwajatoka hata na wanaume watano, mwanaume mmoja tu kakutenda unashtaki wote...my dia wanaume wanaongoza bhana
Na kuna wanawake ambao hawana huruma. Kakutenda boi wako..unataka kujumuisha wote.nyinyi viumbe Hamna huruma wala upendo mna tamaa za mwili tu basi
Kama ndio wa kwanza. Bado haujakomaa... na kwa taarifa yako tu. Unasafari ndefu sana mpaka uje kukomaa kwenye mapenzi. Karib kwenye ulimwengu wa malove..Mkuu kwangu huyu ni Wa kwanza na nimepanga na kumshirikisha pia mungu mipango yangu kwamba Wa pili ndo atakuw mume.. eeh mungu nisaidie
Unajua kaka kinachoumizaga. Ni mpenz wako kukataa kusema tatizo ni nini. Yaani unauliza anasema yuko sawa wkt hali inaonekana si nzuri. Kama mpenz wako mwenyewe aonyeshi ushirikiano, anakuficha.. inakuwaje sasaHaiwezi kuwa imeanzia kusikojulikana hii hali - lazima kuna jambo umemkorofisha. tatizo ulilonalo ni kushindwa kuelewa kinachomkasirisha au kumkera mpenzi wako - fanya flash back ya mazungumzo mliyofanya karibuni kabla ya kufikia hatua hii utaona. wanaume hawapendi wanawake wajeuri/korofi/bishi/sioheshimu
Si wanaume wote walivyo. Huwa mnakariri ujinga.pole kipenzi, decent girl wanaume wote ndo walivo so cha msingi, focus kwenye maisha yako tu jikeep busy pia muombe sana Mungu, Atakupa Decent Man!