MtuFulani8
Member
- Jun 27, 2015
- 92
- 21
Nashukuru sana Mkuu Nina iman nitamsahau maana sio mm Wa kwanza
Japo itachukua muda!!
Nashukuru sana Mkuu Nina iman nitamsahau maana sio mm Wa kwanza
Mkuu ye ndo Wa kwanza ila mpaka hapa nishachoka na simuhitaji tena kwakweli maana mambo anayoyafanya hapaswi kufanyiwa mtu na moenzi wake, toka Jana sijawasiliana nae na nahis roho yangu ina amani kabisa
Kama sikosei ww ni demu??mwana keshapa demu Mkal kuliko ww so..njia njeupe fanya yako sio mpaka uambiwe ...soma alama za nyakat ...
Sometimes men just need some space, hapo mwanzo,kila kitu huwa fine its kinda normal, ila muda unapokwenda, unabidi usome mchezo from the perspective kama unadhani hakucheat decent girl
bora uje kwangu mim niko serioushabari za humu wana mmu.
Mimi binafsi sijawahi kutoa thread yoyote hapa mmu ila leo nimeona nije mnipe ushauri.
Mimi ni ke nina mchumba wangu nimedumu naye almost a year ila siku za hivi karibun nimekuwa simwelewi kabisa, kwa mfano nimeenda kwake lakiin haonyeshi furaha uwepo wangu, ninachomuuliza ndicho anachojibu, anaweza akakaa siku nzima bila kunisemesha mpaka nianze mimi kuongea.
Yaani hii hali inaniuma na kuninyima amani ndani ya moyo wangu na nikimuuliza nimemfanya nini kwanini kabadilika hivyo anasema hakuna kitu, mwanzoni tulikuwa tunashikiana simu ila safari hii yeye simu yake kaweka password kila kona.
Kwa kweli nashindwa kumuelewa yaani sina amani ya moyo.
Naomba ushauri nifanyeje maana mpaka hapa nimeshachoka maana moyo wangu si wa chuma.
Na wewe kaa kimya kuwa busy na mambo yako. Kama anakupenda atakutafuta ukiona kimya ujue una umuhimu kwake.Kama kapangwa kuwa wako atakua tu usilazimishe.
All the best
....asee
Kwanini anyanyasike bwana jino kwa jino. Usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio
&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128514[/HASHTAG];.pole wangu.ila kwa hii comment yako nimejikuta nnacheka.