Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

yaan my dear nimejitahid sana kuutumia uanamke wangu kumueka sawa lakn mwanaume mwenyewe hip hop yaan anavopenda hizo nyimbo za kina weusi sijui fid Q ndo moyo wake ulivo.. he's not romantic at all hata uige sauti ya Celine Dion bado mambo ni yaleyale.. m tired!!

😂😂😂😂😂😂😂.pole wangu.ila kwa hii comment yako nimejikuta nacheka mnooo.lol.dah!
Wangu pia ni hip hop ila peace tuu,anajitaidi.
 
Haaaaa mie mwenyewe imenichekesha kwakweli
 
Habari wana jukwaa la MMU,

Mimi nina mpenzi nimedumu nae kwa takribani mwaka mmoja sasa, ila siku za hivi karibuni mwenzangu kabadilika sana kupita kawaida.

Majuzi nimeenda kwake lakini hakuonyesha kujali uwepo wangu na ukizingatia ni miezi miwili ilipita hatujaonana. lakini pia ndani amani hakuna unachomsemesha ndo anachojibu.

Anaweza akakaa kimya siku nzima mpaka uanze wewe kuongea, yeye yuko busy na laptop na simu basi kiukweli nakosa amani ya moyo na nikimuuliza " what's wrong mbona umebadirika hivyo?" anajibu," Nothing".

Mwanzoni tulikuwa tukishikiana simu lakini yeye ya kwake ametia password kila kona.yaani mpaka najiuliza nitakaa maisha haya mpaka lini nakosa amani ya moyo kabisa.

Naombeni ushauri wenu

Asanteni

mie sikomenti hapa maana hizi tuhuma 100% zinanihusu, isije kuwa ni unaongelea mimi.... ila kama ni mimi nitafute whatsapp now napatikana leo nimewahi kurudi. ahsante decent girl....
 
Kumbe na nyi mkitendwa mnanung'unikaga hiviii decent girl ??? Nikajua ni sisi wanaume tu... Anyway,mchizi ameamua kuhama chama kwa hio cha msingi heshimu maamuzi yake dadaangu,usilete upinzani kung'ang'ania kama mkewe. We piga bunda tu sio ishu wala nini! Atakuja kukukumbuka baadae in case kwamba hujawahi kumtendea kinyume na haki...
Kuhusu wanaume kutokuwa na mapenzi ya dhati napinga vikali maana mi sijawahi kuwa mtu wa hivyo tangu nimeanza mahusiano mi ndio huishia kufanyiwa hilo ulilokumbana nalo so naelewa. Tupo ambao tuko real sema nyie wengi wenu mnaletaga mapicha picha mkikabidhiwa dhamana ya penzi la kweli..Pole sana tulia utampata mtu kama mimi siku moja ili uinjoy kupendwa!

Asante, nimekuelewa Mkuu nimeamua kumove on!
 
Last edited by a moderator:
mie sikomenti hapa maana hizi tuhuma 100% zinanihusu, isije kuwa ni unaongelea mimi.... ila kama ni mimi nitafute whatsapp now napatikana leo nimewahi kurudi. ahsante decent girl....

hahahaa yeye hatumii jamii forum
 
Yutong itajaa, jinsi watu wanavyobadilisha wapenzi duh! Ukifika wakati wa kuoa/kuolewa ukiangalia nyuma hadi unaona aibu.
 
Mkuu kwangu huyu ni Wa kwanza na nimepanga na kumshirikisha pia mungu mipango yangu kwamba Wa pili ndo atakuw mume.. eeh mungu nisaidie
 
na wewe badilika ili asikuelewe tu. hamana namna
 
Habari wana jukwaa la MMU,

Mimi nina mpenzi nimedumu nae kwa takribani mwaka mmoja sasa, ila siku za hivi karibuni mwenzangu kabadilika sana kupita kawaida.

Majuzi nimeenda kwake lakini hakuonyesha kujali uwepo wangu na ukizingatia ni miezi miwili ilipita hatujaonana. lakini pia ndani amani hakuna unachomsemesha ndo anachojibu.

Anaweza akakaa kimya siku nzima mpaka uanze wewe kuongea, yeye yuko busy na laptop na simu basi kiukweli nakosa amani ya moyo na nikimuuliza " what's wrong mbona umebadirika hivyo?" anajibu," Nothing".

Mwanzoni tulikuwa tukishikiana simu lakini yeye ya kwake ametia password kila kona.yaani mpaka najiuliza nitakaa maisha haya mpaka lini nakosa amani ya moyo kabisa.

Naombeni ushauri wenu

Asanteni

Katika kipindi ambacho mmepoteana, amepata mtu mwingine wa kumuweka busy (ambaye amekuwa karibu na yeye emotionally kuliko wewe) Ila bado anakupenda japokuwa ana emotional conflicts ndani yake. Sasa kuna mawili, moja ni kwa kiwango gani na level gani hiyo imotion ya pili imefikia, kama imefikia hatua ya kufanya comparison baina ya huyo mtu mwingine na wewena huyo mtu mwingine kuwa na nguvu kuliko wewe then una bahati mbaya. Ila kama bado haijafika huko bahati yako, mchukulie pole pole na usimfanye ajisikie kuongea na huyo mtu mwingine bali ajione amefanya makosa kutengeneza huo wigo wa muda baina yenu na believe me atafunguka mwenyewe hata bila kumuuliza. Nakutakia kila la kheri
 
Mkuu huo muda ambao hatujaonana ilikuwa ni mwez mtukufu.. ila nashukuru sana kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom