Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

vuta subira utawapata wanaohitaji mm kwa sasa sihitaji kwanza nimewachukia kupita maelezo

Mkuu umesema vzr kwa sasa uhitaji. Ni vyema kwa sababu unahitaji muda kuponya Hilo pito. Mwisho Mungu akusaidie hiyo chuki isipate nafasi kubwa, kwa sababu chuki Ni Mbaya.
 
Habari wana jukwaa la MMU,

Mimi nina mpenzi nimedumu nae kwa takribani mwaka mmoja sasa, ila siku za hivi karibuni mwenzangu kabadilika sana kupita kawaida.

Majuzi nimeenda kwake lakini hakuonyesha kujali uwepo wangu na ukizingatia ni miezi miwili ilipita hatujaonana. lakini pia ndani amani hakuna unachomsemesha ndo anachojibu.

Anaweza akakaa kimya siku nzima mpaka uanze wewe kuongea, yeye yuko busy na laptop na simu basi kiukweli nakosa amani ya moyo na nikimuuliza " what's wrong mbona umebadirika hivyo?" anajibu," Nothing".

Mwanzoni tulikuwa tukishikiana simu lakini yeye ya kwake ametia password kila kona.yaani mpaka najiuliza nitakaa maisha haya mpaka lini nakosa amani ya moyo kabisa.

Naombeni ushauri wenu

Asanteni

Muulize kama amepima ukimwi huyo maana inawezekana majibu sio mazuri ndio maana yupo hivyo
 
Mkuu umesema vzr kwa sasa uhitaji. Ni vyema kwa sababu unahitaji muda kuponya Hilo pito. Mwisho Mungu akusaidie hiyo chuki isipate nafasi kubwa, kwa sababu chuki Ni Mbaya.

asante kwa mchango Mkuu ila cjui kama nitawapenda Hawa viumbe
 
Huyo jamaa inaonekana mapenzi kaanza ukubwani ndo maana anapenda kubembelezwa.inawezekana hana hata mpenzi mwingine ila linapenda libembelezwe tu.
 
asante kwa mchango Mkuu ila cjui kama nitawapenda Hawa viumbe

karibu kwenye ulimwengu wa mapenzi, hapo bila shaka ushaonjwa ndo maana anakuwa hvyo , kama asingekuwa amekuonja asingekuwa hvyo.

pole sana wenzio tumeshazoea.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom