Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

Mwanaume Anayekupenda Hawezi kukuumiza Wala Kukufanya Uhuzunike Bali Atahakikisha Kuirudisha na Kuithamini Furaha Yako.. Futa Vumbi, Simama na Uianze Safari.... Wapo Walioumizwa na Wanao Endelea Kuteswa Zaidi Yako. Kuendelea Kulia nikujipa Stress Zisizo na Faida...

Nashukuru kwa ushaur mkuu
 
Habari wana jukwaa la MMU,

Mimi nina mpenzi nimedumu nae kwa takribani mwaka mmoja sasa, ila siku za hivi karibuni mwenzangu kabadilika sana kupita kawaida.

Majuzi nimeenda kwake lakini hakuonyesha kujali uwepo wangu na ukizingatia ni miezi miwili ilipita hatujaonana. lakini pia ndani amani hakuna unachomsemesha ndo anachojibu.

Anaweza akakaa kimya siku nzima mpaka uanze wewe kuongea, yeye yuko busy na laptop na simu basi kiukweli nakosa amani ya moyo na nikimuuliza " what's wrong mbona umebadirika hivyo?" anajibu," Nothing".

Mwanzoni tulikuwa tukishikiana simu lakini yeye ya kwake ametia password kila kona.yaani mpaka najiuliza nitakaa maisha haya mpaka lini nakosa amani ya moyo kabisa.

Naombeni ushauri wenu

Asanteni

kuna skendo kaziskia kuhusu wewe... anaona kama unampotezea muda huku nyuma ya pazia unamlamba kisogo... kabla hujalalamika, jichunguze kwanza wewe!!
 
Sio wote tupo ivyo mbona mi nmetulia...unajua iko ivi ukitaka usiumie sana usiwe mwepes kuutuoa mwili wako kwa mwanaume( usiwe mwepes kutoa penz) hata akikuacha utaumia ila siyo kivile sababu thamani ya mwili wako inakuwa palepale kinachowaumiza ni pale unapogundua tayar umempa thamani na kakujua vilivy,,,,hii izingatie ukimpata mpya itakusaidia

Okay I got u
 
Habari wana jukwaa la MMU,

Mimi nina mpenzi nimedumu nae kwa takribani mwaka mmoja sasa, ila siku za hivi karibuni mwenzangu kabadilika sana kupita kawaida.

Majuzi nimeenda kwake lakini hakuonyesha kujali uwepo wangu na ukizingatia ni miezi miwili ilipita hatujaonana. lakini pia ndani amani hakuna unachomsemesha ndo anachojibu.

Anaweza akakaa kimya siku nzima mpaka uanze wewe kuongea, yeye yuko busy na laptop na simu basi kiukweli nakosa amani ya moyo na nikimuuliza " what's wrong mbona umebadirika hivyo?" anajibu," Nothing".

Mwanzoni tulikuwa tukishikiana simu lakini yeye ya kwake ametia password kila kona.yaani mpaka najiuliza nitakaa maisha haya mpaka lini nakosa amani ya moyo kabisa.

Naombeni ushauri wenu

Asanteni

wewe unafaa kuwa namimi, napenda sana waliotendwa lakini huwa sipati!!!
 
kuna skendo kaziskia kuhusu wewe... anaona kama unampotezea muda huku nyuma ya pazia unamlamba kisogo... kabla hujalalamika, jichunguze kwanza wewe!!

mm sina tatizo lolote na jina ID yangu inareflect maisha yangu..
 
Mwanaume Anayekupenda Hawezi kukuumiza Wala Kukufanya Uhuzunike Bali Atahakikisha Kuirudisha na Kuithamini Furaha Yako.. Futa Vumbi, Simama na Uianze Safari.... Wapo Walioumizwa na Wanao Endelea Kuteswa Zaidi Yako. Kuendelea Kulia nikujipa Stress Zisizo na Faida...

mlete kwangu nimfute machozi!
 
khe he heh kamiss mimi na uzee huuu nasepaje fasta bila kukohoa
 
Mkuu ye ndo Wa kwanza ila mpaka hapa nishachoka na simuhitaji tena kwakweli maana mambo anayoyafanya hapaswi kufanyiwa mtu na moenzi wake, toka Jana sijawasiliana nae na nahis roho yangu ina amani kabisa
we ondoka tu aisee kama umechoka basi nenda kuna wengi wazuri
 
yani kisa jamaa kagoma kufanya nae uzinzi ndio unamshauri akatoe sadaka kanisani? then what?
mshauri atubu dhambi na kuziacha na atawekwa huru!

unajua ya kutoa sadaka?? Hapo nimejumlisha vyote toba na sadaka huwez toa sadaka bila ya kufanya to a kijanaa
 
Kumbe na nyi mkitendwa mnanung'unikaga hiviii decent girl ??? Nikajua ni sisi wanaume tu... Anyway,mchizi ameamua kuhama chama kwa hio cha msingi heshimu maamuzi yake dadaangu,usilete upinzani kung'ang'ania kama mkewe. We piga bunda tu sio ishu wala nini! Atakuja kukukumbuka baadae in case kwamba hujawahi kumtendea kinyume na haki...
Kuhusu wanaume kutokuwa na mapenzi ya dhati napinga vikali maana mi sijawahi kuwa mtu wa hivyo tangu nimeanza mahusiano mi ndio huishia kufanyiwa hilo ulilokumbana nalo so naelewa. Tupo ambao tuko real sema nyie wengi wenu mnaletaga mapicha picha mkikabidhiwa dhamana ya penzi la kweli..Pole sana tulia utampata mtu kama mimi siku moja ili uinjoy kupendwa!
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jukwaa la MMU,

Mimi nina mpenzi nimedumu nae kwa takribani mwaka mmoja sasa, ila siku za hivi karibuni mwenzangu kabadilika sana kupita kawaida.

Majuzi nimeenda kwake lakini hakuonyesha kujali uwepo wangu na ukizingatia ni miezi miwili ilipita hatujaonana. lakini pia ndani amani hakuna unachomsemesha ndo anachojibu.

Anaweza akakaa kimya siku nzima mpaka uanze wewe kuongea, yeye yuko busy na laptop na simu basi kiukweli nakosa amani ya moyo na nikimuuliza " what's wrong mbona umebadirika hivyo?" anajibu," Nothing".

Mwanzoni tulikuwa tukishikiana simu lakini yeye ya kwake ametia password kila kona.yaani mpaka najiuliza nitakaa maisha haya mpaka lini nakosa amani ya moyo kabisa.

Naombeni ushauri wenu

Asanteni

poleni. njoo kwangu hutajuta kamwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom